Brother Mbowe uko wapi?

Brother Mbowe uko wapi?

Mkuuwanchi

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
84
Reaction score
68
Sijui ni kwa madiba, sijui ni bongoland, sijui ni USA, duu!!
Mbona umeniachaniza mpiga kura wa usa river na manga manga peke yangu ilihali mwaka wa faraja ulikuwa unasogea!! wap papaa NASARI, janjaro ametelekezwa wakati uwoya anakula bata DUBAI.
 
Wewe utakuwa mnafiki fulani hivi. Hao ndo unataka ujue wako wapi. Je wale wa ndiyooo wasioonekana majimboni unawachukuliaje ?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom