ONYO: Tanesco Acheni Kukata miti hovyo.

ONYO: Tanesco Acheni Kukata miti hovyo.

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,171
Huu uharibifu mnaoufanya wa kukata miti hovyo kwa sababu tu imeota kwenye njia zenu za mtaani ni ujinga na kutojitambua.
Miti hii ilipandwa humu mjini ili kuleta hewa safi ya oksijeni na kuleta kivuli kwa wananchi, ninyi mnakuja kirahisi kama wendawazimu msiojielewa mnaharibu mazingira.
Hivi mmekosa altenative nyingine kama kubadilisha nyaya za kuweka zilizo insulated au njia nyingine kufanya pruning matawi ili yasifikie nyaya juu, ninyi mnakata hadi trunk ya mti ili ufe kabisa.
Ukichunguza miji yetu imejaa a lot of wires, kwa hiyo mnataka mji usiwe na miti?
Acheni wehu, au mnadhani umeme wenu ni muhimu kuliko hewa ya oksijeni?
Mnataka tu revenge kwa kukata minguzo yenu. Nimewa mind sana kwa tabia chafu sana hii.
 
Tabia hii ipo sana mkoani Morogoro.
 
Hili suala nilishuhudia mwaka huu yaani jamaa kabla hawajaweka nguzo zao wanakwambia kata miti kwanza yaani eneo linabaki jeupe,kuna jamaa alikua na miti mizuri kaambiwa kata,hawajali hata miti imechukua mda mrefu kufikia hapo,inakera sana
 
Huu uharibifu mnaoufanya wa kukata miti hovyo kwa sababu tu imeota kwenye njia zenu za mtaani ni ujinga na kutojitambua.
Miti hii ilipandwa humu mjini ili kuleta hewa safi ya oksijeni na kuleta kivuli kwa wananchi, ninyi mnakuja kirahisi kama wendawazimu msiojielewa mnaharibu mazingira.
Hivi mmekosa altenative nyingine kama kubadilisha nyaya za kuweka zilizo insulated au njia nyingine kufanya pruning matawi ili yasifikie nyaya juu, ninyi mnakata hadi trunk ya mti ili ufe kabisa.
Ukichunguza miji yetu imejaa a lot of wires, kwa hiyo mnataka mji usiwe na miti?
Acheni wehu, au mnadhani umeme wenu ni muhimu kuliko hewa ya oksijeni?
Mnataka tu revenge kwa kukata minguzo yenu. Nimewa mind sana kwa tabia chafu sana hii.
mkuu kweli ume maind sana.

hahahahahaaaaa
 
Miti ni hatari kuwa kwenye line ya umeme ila mara nyingi hawa vijana, wa Tanesco huwa wanakata tu hata kama mti ni wakupluni. Ndomaana tunakuwa na majiji na miji ya ajabu ajabu. Mnafika mjini barabara hazijapandwa miti, hakuna garden tunadhani mji ni maghorofa kumbe miti iliyopandwa kwa mpangilio mzuri inapamba mji kuliko maghorofa na ndio maana mji wa moshi unavutia sababu ya miti, cheki zile round about unaweza hisi upo Ulaya.
Mimi nadhani tuwe na sera ya upandaji miti mjini miti ambayo haitakuwa na athari sana kweny line za umeme kuna miti mifupi mifupi hivi ipo kama maua na inavutia sana.
 
Back
Top Bottom