Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

With all due respect nawaheshimu sana walimu wangu kwani kazi mnayoifanya ni wito mkubwa sana. Leo nimejisikia vibaya sana baada ya kupanda daladal na kukuta mzozo wa nauli ambayo ni shilling 400...
23 Reactions
151 Replies
12K Views
Nimekuwa nikishuhudia mara kadhaa magar yanayo beba abiri yakibeba mait basi na wahusika kutambu huwa kunatokea itilafu mbali mbali nini tatizo? Mwisho wa kuwasilisha
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana, hivi ni kwa nini Wanaume wa TZ hasa waishio miji yetu mikubwa wako ,,obsessed” sana na ,,sodoma” jibu lilikuwa ni gumu kulipata. Ni kawaida sana Wanaume wengi wa TZ...
4 Reactions
70 Replies
10K Views
Vijana wa Jkt walioingia mwaka 2016 ambao ni operesheni yako mpaka sasa wako vikosini mwao waangalie kwa macho mazuri vijana wako kwani wamekutumikia na kukujengea ulivyokua unahitaji...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Kama Askofu wa kwanza kuingiza Siasa kwenye Dini TZ yetu na siajabu Askofu wa hovyo kuwahi kutokea, ...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu, Naomba niulize hv kwa nn wasomi wazamani walikua vichwa sana tofauti na hawa wa kipindi hiki? Yaani msomi wa zamani Wa darasa la nne ana uwezo mkubwa kiakili ukilinganisha na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mida wadau wana JF, Kwanza kabisa heshima kwenu wadau. Pili naomba kufahamu taratibu za kubadiri internation passport/(hati ya kusafiria) ya zamani kuwa ya sasa (electronic passport)...
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania limetaka tambo zipingwe katika siasa ili kujenga siasa za maridhiano zitakazo chochea umoja, mshikamano na undugu baina ya Watanzania Kauli hiyo imetolewa...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwakweli nape alifaa sana huyu polepole hapana ana kera na kuongeza chuki combination ya bashiru na comrade nape ni nzuri mnoooo lakini sio ya polepole na bashiru
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna msemo maarufu uliwahi kusemwa na mtaalam wa maswala ya fiziksi bwana Albert Einsteen kua huwezi kutatua tatizo kwa kutumia akili ile ile iliyotumika kulitengeneza.(we can not solve problems...
8 Reactions
94 Replies
10K Views
Wafanyabiashara katika soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza wamelazimika kufungua milango wanayotumia kuingia ndani ya soko hilo baada ya Halmashauri ya jiji hilo kushindwa kuwapatia vibali vya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aisee dunia ina mambo sana,… kuna jamaa kunipigia simu kabanisha sauti kwa heshima na taadhima akaniambia naitwa Thomas nani sijui napiga simu kutoka voda, mwenzangu unaitwa nani? Nikamjibu, wewe...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametumia Baraza la Maulid kuwataka Masheikh wa mikoa nchini kukemea vitendo vya ushoga ambavyo vinaharibu sifa ya Uislamu. Mufti amesema hayo leo Jumanne...
1 Reactions
70 Replies
9K Views
JAMBO LA KUSHANGAZA KAMPUNI KUBWA KAMA HII MNAJAZA MAJI NA SODA KWEMYE BUTI WATU WANAONA MNAFIKA NJIANI MTOE HUDUMA KWA ABIRIA ATI MAJI MENGINE YAKO KWENYE BUTI VINYWAJI MNAVYOPEWA VINAHESABU...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kila kiongozi wa nchi akifanya maamuzi yanayoweza kupandisha bei ya bidhaa katika soko la dunia ili apate sifa,sisi tunaogiza nje kuliko tunavyouza,tutakuwa na hali gani? Na je,na wao...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Mafundi wanaotengeneza simu huko mitaani na Maduka yote yanayouza Simu, Radio na TV kwa mujibu wa Sheria wanatakiwa wawe na Leseni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano, mbali na leseni ya biashara”-...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Nampongeza sana Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kwa moyo wa upendo aliouonyesha kwa ndugu yetu huyu anayeitwa Ernest Masenga kwa kumpa jumla ya Shillingi Million Kumi (10,000,000/=) Kwa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki. Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote. Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana katika pita pita zangu Hapa jijini DSM nilikutana na kitu ambacho kilinifanya nifikirie sana kuhusu afya zetu. Nilikuwa mitaa ya Stendi ya Mbezi Mwisho. Kama ujuavyo Stendi imezungukwa na...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari wana jf msaada kwa wanaojua mahali lilipo kanisa la mlima wa moto lililopo chini ya mchungaji getruda rwakatare nasikia liko mikocheni B lakini sijawahi kufika msaada kwa anayejua
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom