This is a good news to Tanzania and entire east african region. We have shown the world that the block is trying to stand out of the crowd.
Guys let's celebrate.
Tanzania named ‘best tourist...
Ndugu wapendwa & wana Jf wote kwa ujumla, rejea kichwa cha habari hapo juu"UFADHILI"Mkataba".
Mimi, kwa Majina naitwa STEFANO, Mkazi wa DAR-ES-SALAAM'Mbagala"Kongowe".
Nina hitaji & ombi la kupata...
Katika vyombo vingi vya habari limetawala sakata la ukaguzi wa maduka ya kubadili fedha za kigeni,sakata ambalo limeleta taharuki kwa kuwa limehusisha jeshi la ulinzi (JW). Nyuma ya pazia kuna...
Katika nchi ya asali na maziwa kulikuwa na mbwa mwitu pamoja na mwanakondoo. Wanyama hao waliishi kwa pamoja kwa kutegemeana kwa muda mrefu.
Mbwa mwitu alipendelea kuishi juu ya chanzo cha maji...
TAARIFA KWA UMMA!
WAVUVI WATATU WATOWEKA KWA SIKU TANO ZIWA MANYARA
Mnamo siku ya Jumamosi tarehe 17/11/2018, kikundi cha wavuvi watatu wanaofahamika kama Paulin Ngalabushi, Isack Nyingi na...
SHERIA mpya ya Hifadhi ya Jamii imefuta Fao la Elimu lililokuwa linatolewa na mifuko ya hifadhi ya jamii, badala yake fedha za mwanachama aliyefariki ndizo zitatumika kuwasomesha watoto wake...
Mkemia mkuu wa serikali imesema inafikiria namna ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo,
kuwa na leseni za kununua na kuuza kemikali ili kuendana na taratibu zilizopo.
SERIKALI inafanya mapitio ya mwongozo maalum wa bei elekezi kwa gharama za matibabu katika hospitali na vituo vyote vya tiba vinavyomililikiwa na sekta binafsi.
Hatua hiyo inatarajiwa kuwezesha...
- Hawakupenda anasa ya kula nyama kutoka Australia na mayai kutoka Israel!
Ndugu Zangu,
Mwanazuoni Born Again Pagan amepata kusimulia haya kwenye mtandao wa mjengwablog.
"Nilianza masomo ya...
Wakati Bandari ya Dar es Salaam ikikabiliwa na tatizo la mrundikano mkubwa wa mizigo na msongamano wa meli kusubiri nje kuhudumiwa, kuna mambo mengi ya kitaaluma yameibuka.
Kinachoonekana ni...
Kwa ninavyowajua ' Wamakonde ' hili lililotokea la ' Pancha ' ni ' Trela ' tu ila nahisi kuna linalokuja ambalo huenda likatufanya tuwe tunatoa sana salamu za rambirambi huku na Kule huku...
Tumshukuru Mh Rais kwa kutujengea fly over maarufu kwa jina la Mfugale. Kwa kweli inatusaidia kutuvukisha pale tazara kwa speed na kwenda kututupia pale Quality Centre kukumbana na Folen...
Wakuu smahani kwa kuwasumbua Ila nimekuwa nikikerwa mno na baadhi ya madereva wanaoendesha magari ya kiserikali.yaani siku hizi yamekuwa kama ya abiria,,wanatoza nauli wanadai kama makondakta...
Ndo mchana huu sasa, nimepitia habari hii
Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.
Trump aliashiria hatua hiyo ghafla...
Published: 09 Jul 2009
A WOMAN is suing an Egyptian hotel claiming her daughter got pregnant - from using the swimming pool.
Magdalena Kwiatkowska's 13-year-old returned to Poland from...
gari yangu gx 100 toyota cresta ina gonga gonga chini ikiwa kwenye rough road...fundi amefungua bush zote za kwenye matairi ni nzima je tatizo linaweza kuwa nini?
Nasikia kuna huu mradi wa bomba la mafuta from Dar to Mwanza, umefikia wapi? Na nini hatma ya wamiliki wa fuel tankers? Pia bei yake kwa Mwanza itashuka kwa lita?
Nadhani watalisogeza hadi Uganda...
Wakuu habar za mda huu mm nilikuwa cjui kumbe wasafi radio fm iko hewani kwa dar ni 88.9 yaani hapa nakula ngoma za enzi izo za kitambo yaan mamno ni moto sana asikuambie mtu..najua wapo watu...
Nimejikuta napenda sana kuona jinsi CCTV zinavyowaumbua watu waliokosa hofu ya mungu, na moyo wa kujituma.
Pia nasifu sana technology ya camera hizo si tu kwa wezi wa magari, Bali hata Wale ma...
Mjukuu wa aliyekuwa Kiongozi wa Wachaga, Mangi Meli ambaye aliuawa na Wakoloni wa Kijerumani mnamo mwaka 1900 na kukatwa kichwa chake kilichopoelekwa Ujerumani apimwa DNA
Mzee Isaria Meli amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.