Hatalipwa Yupo Chini Ya KiwangoWw kijana wa Lumumba Leo hulipwi kwa upuuzi huu
Wewe ni mbumbumbu zaidi ya umbmbmbu wenyewe,kwa hiyo toka dunia kuumbwa askofu huyu ndo wa kwanza kuongelea siasa,unakumbuka barua za kichunhaji kanisa katoliki lilizokuwa linatoa hapa tanzania? Anzia zama za mwinyi,Kama Askofu wa kwanza kuingiza Siasa kwenye Dini TZ yetu na siajabu Askofu wa hovyo kuwahi kutokea, ...