Habari za mchana Wakuu,
Ama kwa kweli nchi yetu tumefilisika kila kitu yaani kuanzia viongozi,skills za uongozi,pesa,hadi roho za huruma nazo tumefilisika zaidi kwa hawa viongoz/watawala wetu...
Napendeka uchaguzi ujao wa TLS tumweke tu hata mgambo wa ufipani au wa Lumumba maana Fatuma Karume ameonyesha weredi wake kisheria kuanzia kutojua sheria ya ushoga, kutokujua mamlaka ya amiri...
Habari zenu wa Tanzania wenzangu,
Serikali baada ya kutangaza kununua korosho katika mikoa ilimayo korosho lakini kwa mkoa wa Mtwara hali imezidi kuwa mbaya wenye korosho tunalizwa vibaya maana...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapokea rufaa za mikopo kwa mwaka 2018/2019 kwa njia ya mtandao wao wa https://olas.heslb.go.tz Dirisha la rufaa litakuwa wazi kuanzia leo 21...
#KWANINI WACHAGGA HUPENDA KWENDA KWAO MWISHONI MWA MWAKA?
Nimeamua kuandika kipande cha waraka huu kutokana na kuwepo kwa dhana nyingi potofu juu ya wachagga kwenda kwao kipindi cha mwisho wa...
kuna maswali najiuliza Hivi kwanini nchi za magharibi zilimuwekea fitina China Kuingia balaza la Usalama la umoja wa mataifa?
Je kuna ukweli kwamba Nyerere ana mchango wake katika kuwafanya...
Najua wengi mtaniponda lakini nataka niwambie vijana wenzangu wale mliozoea maisha ya kula na kulala bure sasa amkeni awamu hiii sio mchezo wala sio lelemala
Mambo ya kukaa nyumbani kutegemea...
Nimeikuta hii mtandaoni nikashawishika kujiuliza kama ni wao wenyewe waheshimiwa au ni watu wengine ndio uwa wanawaandikia taarifa kuhusu maisha yao na kuziweka mitandaoni. Lakini hata kama siyo...
Kwenye hutuba ya Leo Ya maulidi Yaani ni kuimba na kuabudu tupu... Haya ongelewi matatizo ya bakwata au waislam husika.. Mbona Wakristo hawapelekeshwi hivi jamani.. Nilitegemea swala hili LA dini...
Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka...
Habari wakuu,leo wakati naangalia taarifa ya habari katika kituo anachosikika JOJI MALATOO kwa mara ya kwanza nimejua kuna BUNGE LA VIJANA.
Naomba kujuzwa hawa wabunge vijana wanachaguliwa...
Nataka kujua jinsi ya kupitisha mzigo kutoka Nairobi kuja Tz Kwa njia ya bus.. Coz nafikiria kufata mzigo kutoka Nairobi kuja mwanza-tz natamani kidogo nikipata experience kutoka Kwan wazoefu...
Bila shaka kuna watu wanakula 10 percent,yaani wewe karia wa kutupiga mkwara tusimkosoe mtu anayepanga mabeki 9?unaendesha TFF kibabe kila siku wewe ni kufungia watu tu maisha kujihusisha na...
MAFURUKO YAZINGIRA NYUMBA ZANZIBAR: Zaidi ya nyumba 50 zimekuzungukwa na mafuruko huku familia 42 zikihama makazi yao kutokana na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha visiwani Zanzibar.
Shehia...
Huwa nashangaa sana mtu akijamba eti wengine wanashangaa. Wanaona kama kitu cha ajabu sana.
Kuna issues mbili hapa ; sauti na harufu.
Ni tendo la afya sana. Na kujamba kwa kujibanabana...
1; Huku kwetu wamasai wakifiwa walikuwa
wanaiambia maiti! " UKIFIKA KWA MUNGU
MWAMBIE ULIBAKI WEWE TU! HAKUNA MASAI
NYENGINE KULE DUNIANI!" alafu wanahama
wote eneo lile wanatafuta Boma nyengine...
Kumekuwa na kasumba ya ndugu/marafiki/classmate kuwasaidia watu wanaojiweza michango mikubwa ili kufanikisha shughuli zao kama harusi/ugonjwa/msiba/ada huku watu wa hali ya chini ambao ndo...
In the woodlands of southern Zambia hunger arrives with the rhythmic clack of stone against stone as villagers pound open the hard mungongo nuts, a food of last resort for which they compete with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.