Mafundi TV na radio, simu lazima wawe na kibali cha TCRA

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Mafundi wanaotengeneza simu huko mitaani na Maduka yote yanayouza Simu, Radio na TV kwa mujibu wa Sheria wanatakiwa wawe na Leseni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano, mbali na leseni ya biashara”- Francis Msungu, Mkurugenzi wa TCRA Kanda ya Kaskazini.
 
Hata Watanzania wote tung'olewe figo ziuzwe kwa wenye uhitaji ndani na nje ya nchi kodi za ndani haziwezi kuendesha nchi ktk hasa kwa miradi mikubwa ya maendeleo. Huu ni uwezo mdogo wa kufikiri kwa aina ya viongozi tulionao ktk sekta toafouti tofauti.
 
Hili swala lilishawahi kuja huko nyuma wakati wa mkwere,wadau walipolalamika likafa tena ilikuwa inasema leseni ya kuuza simu ni 10milioni.
 
wataweka leseni mpaka za kupeleka barua za posa na uchumba lakini wamesha haribu uchumi, la kuvunda halina ubani.
 
Ko zile leseni zote zilizopo hazitoshi serikali gani hii .muda wote wanawaza kupora wananchi
 
Back
Top Bottom