Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
Aisee dunia ina mambo sana,… kuna jamaa kunipigia simu kabanisha sauti kwa heshima na taadhima akaniambia naitwa Thomas nani sijui napiga simu kutoka voda, mwenzangu unaitwa nani?
Nikamjibu, wewe kama muhudumu wa voda unashindwaje kujua jina langu lililosajiliwa kwenye line yangu!!? Hii baada ya kugundua kwamba huyu ni tapeli… nikaongeza nikamwambia, ebu niache nna mambo mengi ya kufanya hapa….
Nilichoambulia ni tusi aisee,… daah ! Ilinibidi nianze kucheka sanaa….
Hii inaonyesha jinsi gani anavyomaliza vocha bila mafanikio, teteteteteeeh! Matapeli nao wana kazi ngumu sana kipindi hiki,….