Wafanyabiashara soko la mlango mmoja mwanza wamegoma

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Wafanyabiashara katika soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza wamelazimika kufungua milango wanayotumia kuingia ndani ya soko hilo baada ya Halmashauri ya jiji hilo kushindwa kuwapatia vibali vya ujenzi wa maduka yao 29 pamoja na vibanda 55 vilivyoteketea kwa moto September 29 mwaka huu na kuwasababishia hasara ya Shilingi milioni 580.

Na hivyo kusababisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wenye silaha za moto na mabomu ya machozi kuwaamuru kwa nguvu wafanyabiashara hao kufungua milango ya soko hilo.

ITV
 
Hili eneo nahisi kuna kigogo anataka kuwaondoa kwa nguvu. Na ndye inawezekana ndye alilichoma.
 
Wafanyabiashara katika soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza wamelazimika kufungua milango wanayotumia kuingia ndani ya soko hilo baada ya Halmashauri ya jiji hilo kushindwa kuwapatia vibali vya ujenzi wa maduka yao 29 pamoja na vibanda 55 vilivyoteketea kwa moto September 29 mwaka huu na kuwasababishia hasara ya Shilingi milioni 580.

Na hivyo kusababisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wenye silaha za moto na mabomu ya machozi kuwaamuru kwa nguvu wafanyabiashara hao kufungua milango ya soko hilo.

ITV
Sijaelewa kabisa
 
Back
Top Bottom