Naomba mnijibu swali hili

Naomba mnijibu swali hili

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,909
Reaction score
166,138
Hivi kila kiongozi wa nchi akifanya maamuzi yanayoweza kupandisha bei ya bidhaa katika soko la dunia ili apate sifa,sisi tunaogiza nje kuliko tunavyouza,tutakuwa na hali gani?

Na je,na wao wakiamua kutuhujumu kwa kususia bidhaa zetu katika soko la dunia kama njia ya kulipiza kisasi,nani ataumia?Na tutakuwa na haki ya kulaumu?

Mfano,wakisema hatupandi ndege zenu,mtawalaumu?

Kama tunazi-process ili kuziongezea thamani sawa,ila kama tunazi-hold tu ili kutengeneza scarcity katika soko la duni,basi tujue na hasara inayoweza kutupata kwa maamuzi haya.

Labda niulize,hivi hatuoni kuwa tunatengeneza mazingira ya kufanyiwa fitina za kibiashara kwa kugombana na wafanyabiashara hawa wa kimataifa?

Tuwe tunatumia akili.
 
Hivi kila kiongozi wa nchi akifanya maamuzi yanayoweza kupandisha bei ya bidhaa katika soko la dunia ili apate sifa,sisi tunaogiza nje kuliko tunavyouza,tutakuwa na hali gani?

Na je,na wao wakiamua kutuhujumu kwa kususia bidhaa zetu katika soko la dunia kama njia ya kulipiza kisasi,nani ataumia?Na tutakuwa ns haki ya kulaumu?

Mfano,wakisema hatupandi ndege zenu,mtawalaumu?

Tuwe tunatumia akili.
Ndege tunapanda wenyewe pamoja na Mbowe na Zitto wewe Salary Slip Dar Express na Ngorika zinakutosha!
 
Back
Top Bottom