Magari ya Serikali yamekuwa ya Abiria

Magari ya Serikali yamekuwa ya Abiria

Ifururu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
566
Reaction score
684
Wakuu smahani kwa kuwasumbua Ila nimekuwa nikikerwa mno na baadhi ya madereva wanaoendesha magari ya kiserikali.yaani siku hizi yamekuwa kama ya abiria,,wanatoza nauli wanadai kama makondakta.
Naomba kuuliza
Hivi watumishi wa serikali ni halali kulipa nauli ktk magari ya serikali???,,nmeyaandika haya nikiwa na majonzi zi sana kwani Leo wakati narejea nyumbni nimepanda gari LA serikali Ila kwa jinsi walivyokuwa wanadai nauli serikali inabidi waliangalie hili maana mmmhh.vyuma baba vyumaaa
 
Kama wanafanya hvyo uwa wanakosea ila yawezekana hali ya maisha inasababisha hvyo.
 
mafuta mafuta baba au unafikiri hela ya mafuta watapata wapi?!
 
Wakuu smahani kwa kuwasumbua Ila nimekuwa nikikerwa mno na baadhi ya madereva wanaoendesha magari ya kiserikali.yaani siku hizi yamekuwa kama ya abiria,,wanatoza nauli wanadai kama makondakta.
Naomba kuuliza
Hivi watumishi wa serikali ni halali kulipa nauli ktk magari ya serikali???,,nmeyaandika haya nikiwa na majonzi zi sana kwani Leo wakati narejea nyumbni nimepanda gari LA serikali Ila kwa jinsi walivyokuwa wanadai nauli serikali inabidi waliangalie hili maana mmmhh.vyuma baba vyumaaa
Kwanza una sura mbaya sana. Pili hujaeleweka, ulipanda wapi? Na je makubaliano yalikuwaje?? Maana madereva hawaruhusiwi kabisa kuchukua abiria kama si mfanyakazi wa serikali
 
mbona UDA yalikua ya serekali na tulilipa nauli??
Bombadia za serekali je unataka upande bure?
 
Kwanza una sura mbaya sana. Pili hujaeleweka, ulipanda wapi? Na je makubaliano yalikuwaje?? Maana madereva hawaruhusiwi kabisa kuchukua abiria kama si mfanyakazi wa serikali
Mimi ni mfanya kazi wa serikali,ninapoishi ni mbali kidogo na inapoishi familia yangu hivyo kila ijumaa baada ya kazi naenda kuona familia.so magari ya serikali hupita hapa kwa shift yaani kila siku yanaenda kwenye kampuni.ila cha ajabu ni kwamba wao hudai nauli tena kuliko hata kondakta.katika nauli yangu ilipungua elfu moja,walinizodoa sana kiukweli sikufurahishwa na hicho kitendo.
 
Back
Top Bottom