Kuhusu walobadili jinsia ndani ya jeshi letu

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,578
Reaction score
1,722
Ndo mchana huu sasa, nimepitia habari hii

Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.

Trump aliashiria hatua hiyo ghafla katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mwezi jana.

Katika ilani kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis, Trump amesema Pentagon ni lazima irudishe marufuku hiyo.

Idara hiyo ya ulinzi itaamua hatma ya watu ambao wamebadiisha jinsia na ambao tayari wanalitumikia jeshi .

Agizo hilo pia linasitisha nafasi ya wanajeshi wa kiume na wa kike kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia zao.

- BBC

Swali langu je majeshi Yetu ya Tanzania mbona huwa hawatoi taarifa na mbinu wanazobaini wanaojiunga jeshi Na baadae kubalidi jinsia? Tuwekwe waz watanzania , maana ni muhim kujua uimara wa jeshi letu katika Mambo kadhaa,

Samuel
 
Haya mambo Afrika hakuna kutokana na tamaduni za huku hata cases za kubadili jinsia Tanzania hakuna na ili ubadili jinsia mpaka uende hospitali za USA sasa kuruta gani mwenye uwezo huo

Huko USA liberals walipitisha saizi Trump kaondoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa utandawaz huu wa tanthiliya za kiphilipino??
 
Ndo mchana huu sasa, nimepitia habari hii

Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.

Trump aliashiria hatua hiyo ghafla katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mwezi jana.

Katika ilani kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis, Trump amesema Pentagon ni lazima irudishe marufuku hiyo.

Idara hiyo ya ulinzi itaamua hatma ya watu ambao wamebadiisha jinsia na ambao tayari wanalitumikia jeshi .

Agizo hilo pia linasitisha nafasi ya wanajeshi wa kiume na wa kike kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia zao.

- BBC

Swali langu je majeshi Yetu ya Tanzania mbona huwa hawatoi taarifa na mbinu wanazobaini wanaojiunga jeshi Na baadae kubalidi jinsia? Tuwekwe waz watanzania , maana ni muhim kujua uimara wa jeshi letu katika Mambo kadhaa,

Samuel

Mkuu kwani ' Kibongobongo ' tunao pia ' Wajeda ' naniliu?
 
Ni Africa tu ambapo karne ya 21 bado wanaamini tarifa fulani hazifai kujulikana na wananchi ni Sahihi baadhi ya classified information kuwa Hidden lakini si zote zinazopswa kufichwa ktk ulimwengu huru huu, Watu wanapoteza imani na vyombo kwa Usiri mkubwa uliopo kwa mambo ata yasiyohitaji usiri, Education is powerful
 
Yes this is t
 
Kwetu Tanzania hapana bado sana hata hivyo jeshi letu halichukui mashoga(wana njia yao ya kutambua hilo)
 
Sidhani kama haya ya kubadili jinsia yapo ktk majeshi yetu.
 
Mwafrika na Muarabu ndio binadamu pekee wanaojali maadili licha ya mapungufu madogomadogo ambayo hayaepukiki human nature.

Kweli kabisa unabadilisha gegedo
 
Ni Africa tu ambapo karne ya 21 bado wanaamini tarifa fulani hazifai kujulikana na wananchi ni Sahihi baadhi ya classified information kuwa Hidden lakini si zote zinazopswa kufichwa ktk ulimwengu huru huu, Watu wanapoteza imani na vyombo kwa Usiri mkubwa uliopo kwa mambo ata yasiyohitaji usiri, Education is powerful
Ni taarifa gani ambayo inapaswa kuwa rated kama ni siri,,?

Carpe diem.....[emoji187]
 
Kuna maswala yanaleta ukakasi kuyazungumzia
Ndani ya jeshi letu suala hilo halipo sasa litazungumziwaje?

Hiyo niramli chonganishi isiyona hata chembe ya uzalendo
 
Ndo mchana huu sasa, nimepitia habari hii

Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.

Trump aliashiria hatua hiyo ghafla katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mwezi jana.

Katika ilani kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis, Trump amesema Pentagon ni lazima irudishe marufuku hiyo.

Idara hiyo ya ulinzi itaamua hatma ya watu ambao wamebadiisha jinsia na ambao tayari wanalitumikia jeshi .

Agizo hilo pia linasitisha nafasi ya wanajeshi wa kiume na wa kike kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia zao.

- BBC

Swali langu je majeshi Yetu ya Tanzania mbona huwa hawatoi taarifa na mbinu wanazobaini wanaojiunga jeshi Na baadae kubalidi jinsia? Tuwekwe waz watanzania , maana ni muhim kujua uimara wa jeshi letu katika Mambo kadhaa,

Samuel
Askari wetu hakunaga kama hizo pale katika recruiting wale wenye mrengo usioeleweka hujichuja wenyewe !halafubtilia maanani askari wetu asilimia 80 ni miguvu na ukakamavu sasa mkorogwa jicho atapita kweli bila kuacha uharo na sulubu zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo nadhan wanakaguliwa kabla ya usaili!!
Hapa nadhan wasioeleweka hujitenga kabisa
 
Back
Top Bottom