TPA waepuke kisa cha mbuni kuficha kichwa

TPA waepuke kisa cha mbuni kuficha kichwa

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Wakati Bandari ya Dar es Salaam ikikabiliwa na tatizo la mrundikano mkubwa wa mizigo na msongamano wa meli kusubiri nje kuhudumiwa, kuna mambo mengi ya kitaaluma yameibuka.
Kinachoonekana ni kwamba kuna upungufu mkubwa katika mfumo mzima wa kiteolojia wa uendeshaji na usimamizi wa wa lango hilo kuu la biashara ya kimataifa jambo linalochangia kuyumba kwa sekta hiyo...

Source: Tanzania Daima
 

Attachments

  • IMG_20181122_080931.jpg
    IMG_20181122_080931.jpg
    137.8 KB · Views: 20
  • IMG_20181122_081140.jpg
    IMG_20181122_081140.jpg
    137.5 KB · Views: 19
  • IMG_20181122_081204.jpg
    IMG_20181122_081204.jpg
    116.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom