Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati mwingine katika maisha lazima kukubali kushindwa! na asiyekubali kushindwa sio mchezaji mzuri! Mmeona Mambo yanavyoingiliana!? Mambo yanaingiliana Sana Sana ! tukiachilia mbali miradi...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Natambua kabla ya tukio lolote lile ambalo huwa linamuhusisha Kiongozi Mkuu wa nchi ( nikimaanisha Rais ) hufanyika utaratibu wa Kiitifaki ( Kiusalama ) hasa katika suala zima la Upangaji wa eneo...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete amezindua harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha wanafunzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), iliyofanikisha kupatikana kwa jumla ya Sh. 1,430,583,000. Uzinduzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu MTU nilimchukia mno na nilimsimanga sana wakati wa utawala wake ila sasa nataka nikamuone nikamsalimu na nikamuombe msamaha kabla Mimi sijafa au yeye hajafariki Jk nakukubali mno mzee...
9 Reactions
38 Replies
6K Views
Kama kuna tabia mbaya ambayo siku hizi imezoeleka na naona kila siku inazidi tu Kujizolea ' Umaarufu ' kama siyo Kushika Kasi pia ni hii ya Wanaume wengi wanaomiliki Vyombo vya Usafiri ( Magari )...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Salamu kwenu Jf family Kwa wengi mnaweza chukulia poa ila kwangu ni big deal. Ilipofika December 2017 niliingia kwenze zoezi la kutathimini maisha yangu na kugundua nilikuwa naishi chini ya...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Kuna watu wanajifanya wanaijua JF kuliko ata wale walioanzisha,mtu ukileta mada yako unakuta wengine wanakuja na vicoment flani hivi wanajiona wao magreat thinker kinoma kumbe ni mapopoma tu...
10 Reactions
90 Replies
6K Views
WABUNGE WA UPINZANI WANA UWEZO WA KUTETEA WANANCHI KULIKO WA CCM. Na Thadei Ole Mushi Wakati Ester Bullaya mbunge wa upinzani anapoteza Muda pamoja na Fedha kwa ajili ya kutetea maslahi ya...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua huduma za viza na vibali vya ukaazi vya kielektroniki na amewataka watu wote watakaopewa vibali hivyo kutii sheria kwa kufanya shughuli ambazo wameelekezwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sifa za wanaume wanaovaa mlegezo(Kata k). Nyie mnawaonaje au sifa zao ni zipi asee?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari WanaJF, China Radio International ikishirikiana na kampuni ya Jamii Media (wamiliki wa mitandao ya JamiiForums & FikraPevu), inayo furaha kutangaza majina ya washiriki walioibuka kidedea...
5 Reactions
169 Replies
18K Views
Mwandishi alifika katika Hospitali ya Ubalozi Medical Clinic iliyopo mita 200 kutoka vilipo viwanja vya Leaders na kukutana na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk Aneth Rwebembela ambaye alisema...
11 Reactions
63 Replies
12K Views
Habari Wandugu nilimsikiliza jana PM akiwa anafoka kuhusu mitandao yakijamii na kuiagiza TCRA ichunguze , sasa swali je wao wanapo tuletea sheria za kutukwaza wanafikiri sisi siyo binadamu au...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za hivi Punde: Mhashamu Askofu wa kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya Evaristo Chengula amefariki dunia mchana huu Jijini Dar es Salaam. Chengula alikuwa anapatiwa Matibabu Kwenye hospitali ya...
10 Reactions
79 Replies
20K Views
Serikali kupitia Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) imewasimamisha kazi Watumishi 11 walionekana kutenda makosa na watatu kati yao wamefikishwa Mahakamani Kusimamamishwa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Irene Isaka wa SSRA ame trend wiki hii na blabla zake kuhusu kanuni adui kwa wastaafu. Ukweli ni kwamba dada huyu anatumika kutaka kuwaibia wafanyazi. Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
TLS inatoa msaada wa kisheria katika magereza na mahabusi za watoto katika mikoa 14 kuanzia leo tarehe 26 hadi 30/11/2018. Mikoa hiyo ni pamoja na Dar es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Mtwara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KARUBI la kale linalokisiwa kuwa la zaidi ya miaka 3,500 limegunduliwa Misri. Wataalam wa masuala ya kale walioshirikiana na chuo cha Ufaransa cha Strasbourg walifanya ugunduzi huo katika bonde...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wengi tuna kasumba ya kukusanya nguo viatu ama soksi tusizozitumia,kwanini tujaze vitu hivi ndani ikiwa hatuvitumii kwa sababu moja au nyingine? Tafadhali gawa zikusanye peleka nyumba ya ibada...
17 Reactions
55 Replies
6K Views
nachoelewa kimoja huitwa kidole gumba kinachofuata huitwa kidole cha shahada mbali na hivi naomba kujuzwa majina ya vidole vilivobaki na maana zake vivikwapo Pete. Mfano kufahamu ni mwanandoa...
1 Reactions
20 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…