Je, Polisi Tanzania mmetoa ' Leseni ' Maalum kwa Wanaume wenye Magari wakitaka wayageuze ' Gesti ' zitembeazo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,789
Kama kuna tabia mbaya ambayo siku hizi imezoeleka na naona kila siku inazidi tu Kujizolea ' Umaarufu ' kama siyo Kushika Kasi pia ni hii ya Wanaume wengi wanaomiliki Vyombo vya Usafiri ( Magari ) kuyatumia kama Gesti / Loji zao ambapo ' hulala ' na Wanawake humo.

Siku hizi ukipanda tu Magari Matatu kati ya Matano ya Wanaume lazima tu utakaribishwa na ' harufu ' za Mbunye ( Uke ) na kuna muda kama ukiwa ni Mtu wa Kushikwa na Kichefuchefu au mwepesi kuona ' Kinyaa ' unaweza ' ukatapika ' pia. Magari yananukia tupu hadi Kero.

Hivi Jeshi la Polisi limeshindwa kabisa kulivalia Njuga hili tatizo? Binafsi haipiti siku hata moja au mbili katika pita pita zangu iwe mchana au usiku nisikutane na Gari moja mbili tatu zikiwa ' zinatikisika ' Kunakotukuka huku kwa ndani Viti vikiwa vimelazwa ambapo ' ukikaza ' vizuri macho utakutana na ' Chupi ' inakusalimia ' Shikamoo ' kwa dirishani huku Mgongo wa Mwanaume ukiwa unaibuka na kuzama utadhani Mamba wa Mto Ruaha wakiwa wanatafuta ' Kitoweo ' chao cha Siku.

Halafu na nyie Dada zangu leo nawatoleeni Uvivu hivi inakuwaje Mwanamke mzima unakubali Kuuza Utu wako na Kuvuliwa ' Chupi ' na Kupindwapindwa ndani ya Gari ' Kubanduliwa ' huku mkiishia hadi kuharibu Vifaa vingine vilivyomo ndani ya hayo Magari kutokana na Utamu na ' Mikuyenge ' mnayokutana nayo?

Nawaomba Polisi Tanzania mliangalie hili kwa umakini wenu mkubwa kwani linadhalilisha mno Utu wa Mwanamke na Maadili mema ya Mtanzania. Inakuwaje Mwanaume mzima unamiliki Gari la Mamilioni Tsh 30,000/= tu au basi Tsh 15,000/= ya kwenda Kulipia Gesti / Loji ' ukambandue ' vizuri Mpenzi wako inakushinda?

Wengine mnavyokuwa ' mnakanyagana ' katika hayo Magari yenu huwa mnatupa ' Midadi ' na Kutupandisha ' Nyege ' zisizo la lazima na kuna uwezekano sasa na Mimi GENTAMYCINE huko mbele ya safari kama nikikutana tena na hii ' Kitu ' nikamkamata Mtu au hata nikaomba ' Kolabo ' ili tumalizane vizuri.

Kuna Mtu nimemuona leo maeneo ya ' Beach ' fulani ( jina Kapuni ) alikuwa ' anambandua ' Mwanamke wa Watu na nikiri tu tokea nizaliwe takribani miongo mitatu hii sijawahi kuona Mwanamke akiwa ' amekunjwa ' kama ambavyo nimemuona leo na nina uhakika mwenye Mume / Mpenzi kama angeona basi kuna mawili ama angejiua au angua Mtu. Manake Kichwa cha Mwanamke kilikuwa kimeangalia Mashariki, Miguu imeelekwa Kusini, sehemu yote ya Tumbo ikiwa imejipinda kwa juu utadhani Jeki ya FIAT huku mikono yote miwili ya yule Mwanamke ikiwa imeshikilia Dirishani. Nadhani hii ' Style ' itakuwa ni mpya au ni ya Kipekee kabisa kwa Kizazi hiki.

Nawasilisha.
 
Ni kweli kabisaa, tatizo linakuka gari lake na kila kitu ni chake na asilimia kubwa ya wanaotumika humo huwa ni waliozuzuka na uwezo wa majamaa na hawana namna POPOTEKAMBI
 
Ni kweli kabisaa, tatizo linakuka gari lake na kila kitu ni chake na asilimia kubwa ya wanaotumika humo huwa ni waliozuzuka na uwezo wa majamaa na hawana namna POPOTEKAMBI

Mkuu huwezi amini leo nimepanda Gari la ' Mshkaji ' wangu mmoja yaani mpaka nimejuta kwani Gari lote kuanzia kule mbele kwenye Injini hadi huku nyuma katika Boneti lote linanuka ' MaKuMaKu ' tupu! Nilishindwa Kumvumilia ' Mshkaji ' nikampa ' makavu ' yake tukuka japo Lifti alinipa vile vile. Alikiri kweli amekuwa na hiyo tabia mara kwa mara na kuna maelekezo nimempa jinsi ya kufanya kwani kuna hatari kama ile harufu ikiendelea au akaendelea na huo ' Upuuzi ' wake basi likampata ' Janga ' moja Kubwa mno kwani tayari amekaribisha ' Nuksi ' mwenyewe katika Gari lake na Maisha yake.
 
Gari yangu, Dudu yangu, Ngono juhudi zangu, Unipangie pa kuifanya!?..
Tutapangiana na style soon sasa!
 
Mkuu utasababisha polisi wapige marufuku kula huku unatembea maana njaa haina adabu ukikubana tu unanunua mahindi ya kuchoma ama chips kwenye mfuko unatembea huku unakula kama ilivyo mbunye ukipata hamu ghafla unakula mzigo garini
 
Duu mmestuka leo police kitambo wanajua hilo dili na wakimkata mtu alieoa anatoa zaidi ya laki tatu mpaka tano maana wanamtisha jamaa kwa kusema tunampigia mkeo tumekufuma huku na wengine hutishwa mpaka kuwekwa ndani usiku huo sasa jamaa kwa kulinda ndoa inabidi atoe hata kwa kukopa usiku huo...mnadhani doria ya usiku ni majambazi tuu wanaangalia gari zenye tinted na zime pack...
 
Kwenda zako. Mbona nyumba nimejenga ya million 60 lakini nasexia humo ndani. By the way kila mtu ana gari lake na matumizi ni yake ata akiamua awe analiendesha kwa reverse tu ni maamuzi yake
 
Back
Top Bottom