Vidole vya mikono majina na maana zake vivikwapo pete

mbutamaseko

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
736
1,054
nachoelewa kimoja huitwa kidole gumba kinachofuata huitwa kidole cha shahada mbali na hivi naomba kujuzwa majina ya vidole vilivobaki na maana zake vivikwapo Pete. Mfano kufahamu ni mwanandoa, kaachika ,kafiwa au anatafuta mchumba. Karibuni
 
Hamna majibu hadi sasa labda swali lako gumu, au tukupe mji ututajie majibu?. :cool::cool:
 
nachoelewa kimoja huitwa kidole gumba kinachofuata huitwa kidole cha shahada mbali na hivi naomba kujuzwa majina ya vidole vilivobaki na maana zake vivikwapo Pete. Mfano kufahamu ni mwanandoa, kaachika ,kafiwa au anatafuta mchumba. Karibuni
Kidole cha kati kirefu kuliko vyote kinaitwa Middle fingure au kidole cha matusi.
 
Mimi nataka kujua kidole gumba
Pete inapovikwa kwenye kidole Gumba maana yake mvikwa Pete ni Towashi ( Mtu aliyejitoa kwa kupenda Imani akaamua ahasiwe kama vile ng'ombe maksai), ili asioe kwa ajili utumishi wake hekaluni.waweza kumuita "mean person".
 
Back
Top Bottom