PM atema cheche,tusubiri leo Mkuu naye kutema cheche VITA YA MAFAO

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Habari Wandugu nilimsikiliza jana PM akiwa anafoka kuhusu mitandao yakijamii na kuiagiza TCRA ichunguze , sasa swali je wao wanapo tuletea sheria za kutukwaza wanafikiri sisi siyo binadamu au ni miti na sisi tunaumia kama wao wanavyoumia na comments za mitandao conclusion badilisheni hiyo sheria kuanzia FAO LA KUJITOA SEKTA BINAFSI maana hapa hata mimi imeniumiza sana MOYONI nilitegemea kujenga nyumba baada ya mkataba wangu kazini kwisha nikaambiwa nitapewa 33% ndio fao la kukosa ajira
naulizwa na mwanangu lini nitamalizia kujenga nyumba yetu naishia kumfikiria aliesaini hiyo sheria, HATA SISI TUNAKWAZIKA PIA.
 
Habari Wandugu nilimsikiliza jana PM akiwa anafoka kuhusu mitandao yakijamii na kuiagiza TCRA ichunguze , sasa swali je wao wanapo tuletea sheria za kutukwaza wanafikiri sisi siyo binadamu au ni miti na sisi tunaumia kama wao wanavyoumia na comments za mitandao conclution badirisheni hiyo sheria kuanzia FAO LA KUJITOA SEKTA BINAFSI maana hapa hata mimi imeniumiza sana MOYONI nilitegemea kujenga nyumba baada ya mkataba wangu kazini kwisha nikaambiwa nitapewa 33% ndio fao la kukosa ajira
naulizwa na mwanangu lini nitamalizia kujenga nyumba yetu naishia kumfikiria aliesaini hiyo sheria, HATA SISI TUNAKWAZIKA PIA.

= conclusion
= badilisheni
 
JF fanyeni upesi option B, karibuni watazuia kabisa. JF Ndio sauti kuu pekee kuwasemea Watanzania.
 
Kufoka hakuleti mantiki ni kukoleza moto tu, hivi hawaoni kumwambia kijana aliyekuwa akifanyakazi buzwagi asubiri miaka ishirini ijayo ndo apate stahiki zake ni upuuzi?

Wakati wao ndio wamemkosesha ajira kwa kukomalia makinikia ambayo wala hawajui wayafanyie nini!
 
Watu wanapunguzwa kazi kila siku wao haliwaumi ila kuwapa stahiki zao ndo inaanza kuwa nongwa mbona tuna viongozi wa hovyo hivi?
 
JF fanyeni upesi option B, karibuni watazuia kabisa. JF Ndio sauti kuu pekee kuwasemea Watanzania.
Tutarudi Kenya Talk sasa ni hiari yao kama wanataka our dirty laundry to displayed on Kenya Talk.
 
Ndugu, ulitakiwa kwanza utueleze PM kasema nini, halafu ndio utoe maoni yako, lakini badala yake umeishia kutoa maoni yako kiasi kwamba nimeshindwa kuelewa PM kasema nini!
 
Habari Wandugu nilimsikiliza jana PM akiwa anafoka kuhusu mitandao yakijamii na kuiagiza TCRA ichunguze , sasa swali je wao wanapo tuletea sheria za kutukwaza wanafikiri sisi siyo binadamu au ni miti na sisi tunaumia kama wao wanavyoumia na comments za mitandao conclusion badilisheni hiyo sheria kuanzia FAO LA KUJITOA SEKTA BINAFSI maana hapa hata mimi imeniumiza sana MOYONI nilitegemea kujenga nyumba baada ya mkataba wangu kazini kwisha nikaambiwa nitapewa 33% ndio fao la kukosa ajira
naulizwa na mwanangu lini nitamalizia kujenga nyumba yetu naishia kumfikiria aliesaini hiyo sheria, HATA SISI TUNAKWAZIKA PIA.

Wapi hapo ulimsikia?
TV ,Radioni ,kwenye vikao vyan ndani unaweza kushare nasi?
 
Back
Top Bottom