Usijifanye unaijua JF kuliko ata walioanzisha

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kuna watu wanajifanya wanaijua JF kuliko ata wale walioanzisha,mtu ukileta mada yako unakuta wengine wanakuja na vicoment flani hivi wanajiona wao magreat thinker kinoma kumbe ni mapopoma tu,

Utakuta mie Zero IQ nimeweka mada yangu inayohusu mapenzi kwenye jukwaa la Mahusiano alafu kuna mtu anakuja kukomenti pumba kwa sababu tu ya Content ya post husika bila kujua ata post iko jukwaa gani?

Ngoja niwape Somo kidogo inaonekana hao wanaocoment hivyo hawaijui JF ila wanaidandia tu,

Jf ina majukwaa lukuki mfano
1:Jukwaa la mahusiano,
2:jukwaa la dini haya ni private kuingia mpaka upate access maalumu kutoka kwa Mod,paw
3:jukwaa la hoja mchanganyiko
4:Jamii intelligence
5:Jukwaa la siasa
6:Jukwa la jokes na utani
7:Chit chat

Na majukwaa mengine mengi kila jukwaa na content zake

Hivyo basi ukitaka kusoma vile unataka kuvisoma ingia jukwaa ulipendalo kama wewe ni mpenzi wa siasa ingia jukwaa hilo,kama unataka Utani ingia hilo jukwaa utakuta mada zake humo,kama wewe unataka mada za kufikirisha ubongo jukwaa la jamii intelligence lipo ingia humo utapata madini,

Usiandike andike Coment ili wakuone we ni great thinker kumbe ni bonge la Popoma.
 
Umezidi na post za uasherati/umalaya. Siyo za mapenzi ni post/thread za kishetani!
 
kumbe huku napo kuna mabroo, masistaa na mashangazi kama tl wazee washajimilikisha
 
Mkuu kama wewe siyo muhesharati/Malaya/ mtu wa mapenzi kwa nini huje jukwa la mapenzi si kuna jukwaa la dini uende huko ukasome post zake
macho hayana pazia, naweza ona but...... Kuandika mapenzi within limits siyo kubaya, after all we are all products of mapenzi/sex, but regulated sex/mapenzi by customs, norms, rules and laws of a society at large!
 
macho hayana pazia, naweza ona but...... Kuandika mapenzi within limits siyo kubaya, after all we are products of mapenzi/sex, but regulated sex/mapenzi by customs, norms, rules and laws of a society at large!
Kuandika mapenzi hakukufanyi wewe kuwa mfanyaji ndio maana kuna kina shigongo kama waandishi wa vitabu haimaanishi kila wanachokiandika basi walishawahi kukifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom