Majina ya washindi wa shindano la #ChinaMade kutoka JamiiForums

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,229
5,285
Habari WanaJF,

China Radio International ikishirikiana na kampuni ya Jamii Media (wamiliki wa mitandao ya JamiiForums & FikraPevu), inayo furaha kutangaza majina ya washiriki walioibuka kidedea katika shindano la #ChinaMade ambalo lilitoa fursa kwa WanaJF kutoa uzoefu wao kuhusu bidhaa au masuala ya China na namna yalivyowanufaisha katika maisha yao.

Majina ya washiriki walioshinda zawadi ya Simu (Huawei):

1. Tanki

2. cognition

3. plusbee

4. winchester

5. Nifah

Majina ya washiriki walioshinda zawadi ya Xiaomi Armband

1. Kapo Jr

2. sajo

3. Querido

4. Junior Recture

5. king kan

Utaratibu wa kupokea zawadi hizi utatangazwa muda wowote kutoka sasa. Endelea kufuatilia hapa JamiiForums na kwenye Ukurasa wa Facebook wa CRI-Kiswahili - BOFYA HAPA..

China Radio International na Jamii Media wanatoa pongezi za dhati kwa washindi wote na kuwatakia matumizi mema ya bidhaa na huduma kutoka China.

NB: Shindano hilo lilifanyika kupitia uzi huu: Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

=========

Pia tunashukuru kwa wote walioshiriki. Kuna wadau nao walifanya vizuri ila bahati mbaya si wote tutaweza kuwapatia zawadi.

Majina ya walioshiriki shindano la #ChinaMade kwa ujumla:

Man of the year,
Sungura 23,
Winchester,
Mbuhe
figganigga,

Sigitoro,
Dumelang,
Dr Kantangaze,
Tanki , Sajo,
Pendael24, jonax, Nifah

Querido
Pasu 2015
Sijuti
Masha Kidunda
Tiassa
Interest,
King Kan
Malimi Katoro
Flamini
Magwagu
Shayomchaga
Davion Delmonte Jr.
WhySoSerious
cognition
Kapo Jr
peterchoka
Junior Recture
aikaruwa1983
HULILO
Planett
Ringo Edmund
Msuza
Emkey
KAFA.cOm
watambi
Lukokela
Plusbee
Babi
Sofia Kitwana
pitbull
mwambadog
Mzee
Kelz
mwampepec
far abla
Richolic
GAZETI
captein Dunga
kokakola
katuni
Etc..

TAARIFA MPYA - 28/03/2016:
Ndugu washiriki na wanaJF kwa ujumla.

Tunasikitika kwa kuchelewa kutoa zawadi kwa washindi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu na tunaomba radhi kwa kukaa kimya kwa muda wote huu tangu washindi watangazwe.

Hata hivyo, kampuni ya Jamii Media ikishirikiana na China Radio International inamalizia taratibu zote za kukabidhi zawadi kwa wahusika na tarehe rasmi itatangazwa muda wowote kutoka sasa.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Jamii Media Team.
============
 
Kwakweli nimefurahi sana,weekend yangu imeanza vyema.
Hongera sana mama yangu, uwe mwangalifu na wakina jingalao, motochini, FaizaFoxy, Gentamycine wasije wakakuibia Zawadi yako si unawajua ccm kwa ufisadi
 
Nifah mambo? Mimi ndugu ya kwa upande wa mama yako wakambo,,huwa nazima tu simu ya kuingia Jf,,naomba unipe ile ya zaman sawa? Thnx in advance,,I looking forward for positive respond
Yours little bro,,aka mpenda kitonga
Hahahahaaaa leo mbona nitapata ndugu wengi sana.
 
Nilishiriki, sikushinda..
Hongereni washindi..

Waandaaji waje na shindano lingine tafadhali. Mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom