Taratibu za kumuona Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Mh jk kama taratibu za kukuona kiitifaki zitashindikana tutatresspass kwa nguvu japo itakuwa ngumu ila jamii inakuhitaji mno uipe faraja hatuna mfariji

Aliyepaswa kutufariji ameamua kuchukua njia yake

Jk plz tunakuhitaji uraiani
 
Sure mzee jk salamu tunatanguliza siku tukitresspass kwenye makazi yako askari wasitupige risasi we need u than ever before najua utasoma huu Uzi mzee we need you !!

Atauona.. imagine baba unamkosea lakini bado anakuoneshea tabasamu...ila tuseme ukweli tupu kabisa Tanzania tumelogwa vibaya..ingekuwa kwa wakinga tungesema Tanzania kuna KIPEMBE! Kinaitafuna nchi yetu.. tumelogwa sio kawaida hii
 
Ndo Rais wangu wa muda wote, alinipa boom asilimia yakutosha,nisingeweza pata hata haka kaelimu na kusaidia wadogo zangu kwa boom tu......live longer Jakaya angalau kauli mbiu yako ya maisha bora iliprove ktk familia yangu
Hakika huyu baba Mungu ampe maisha marefu, alitoa ajira bila kuchoka,zaidi katoa boom hata kwa kozi ambazo kwa miaka hii ya Magu wanasema hazitambuliki. Wasio na elimu ya kutosha walifanya kazi, mishahara aliongeza japo kiduchu, wenye vyeti feki walikuwemo, wezi walikuwemo lakini bado pesa ilipatikana mtaani.
 
Hahaha kwani masimango ulimpa live?! Mi nadhani ulimsimangia himu humu?! Kama ndivyo, kwanini msamaha uwe live?!
Ushauri: huna haja kukutana naye, umesha omba msamaha nadhani umesamehewa, sasa piga kazi.
Siku nyingine usilaumu kwa vitu usivyo vifahamu. Jipe muda kufahamu, kwanini wamefanya walivyofanya, kisha ndio upongeze au kulaumu na kusimanga.
 
Hahaha kwani masimango ulimpa live?! Mi nadhani ulimsimangia himu humu?! Kama ndiyo, kwanini msamaha uwe live?!
Ushauri: huna haja kukutana naye, umesha omba msamaha nadhani umesamehewa, sasa piga kazi.
Siku nyingine usilaumu kwa vitu usivyo vifahamu. Jipe muda kufahamu, kwanini wamefanya walivyofanya, kisha ndio upongeze au kulaumu na kusimanga.
Eti anajitoa ufahamu...wamwache mzee wa watu apumzike... tukutane 2025 ndo basi litafika stendi now tupo porini na hakuna kituo
 
Huyu MTU nilimchukia mno na nilimsimanga sana wakati wa utawala wake ila sasa nataka nikamuone nikamsalimu na nikamuombe msamaha kabla Mimi sijafa au yeye hajafariki

Jk nakukubali mno mzee nisamehe!!!!!!!
Hebu tuondoleeni unafki wenu hapa, Magufuli ameletwa na nani kama siyo huyo JK?

Kwa lipi hasa la maana mpaka umkumbuke JK? Ufisadi wote huu na uozo wote ukifanyika chini ya nani?

Kwa hili Magufuli kanyaga twende mpaka tuheshimiane, maana kuna vijitu ni lazima vijifunze kwa njia ngumu.
 
Heshima ya jakaya na thamani yake imepanda kwa viwango visivyo vya kawaida kwa rais mstahafu!!!
Japo kulikuwa na ufisadi mwingi na mambo gani sijui lakini maisha yalikuwa na unafuu, bora hiyo kuliko kuambiwa hakuna ufisadi serikali inapesa za lakini ukiangalia hali za wananchi wengi ni mbaya. Yani yule mzee kwa kweli mimi nampongeza siwezi kumsahau alikuwa mvumlivu kiasi chake
 
Back
Top Bottom