The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 205
Kwa watumiaji wa barabara Hii ya Morogoro wataungana na mimi juu ya adha kubwa ya viraka vinavyojitokeza barabara huku mamlaka husika wakikaa kimya.
Sifa moja ya kiraka kama kisipozibwa , kikipata maji na magari yakawa bado yanapita basi humomonyoka na kuongezeka ukubwa kuweza athiri base and sub base ya barabara. Hali hii ikiendelea, haipunguzi tu ubora wa batabara bali pia huleta adha kwa watumiaji na pengime kusababisha ajali. Mfn. Majinja Iringa.
Kiraka cha eneo la kimara "kona" kiangaliwe vizuri maana kinaleta taswira mbaya. Na viraka vinginevyo. Naamini wahusika wa barabara hizi watalifanyia kazi hili.