Hiki ndicho anachokiogopa jiwe

Hiki ndicho anachokiogopa jiwe

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,468
Reaction score
2,903
Mh. BCM unamfanya mzee mwenzako akose usingizi; tafadhali, muache apumue.
IMG-20181202-WA0006.jpeg
 
JIWE hawezekani kiulaini hivyo. Membe ajipange haswa tuache pororjo hata iweje JIWE atabaki kuwa mkubwa wa kazi tu.
 
Faida kwa BMembe, Tungeweza kujenga miradi hiyo mikubwa kwa garama nafuu zaidi,Grants kwa kuongea vizuri na wadau, Mahusiano ya kimataifa,na kubwa umoja na ustawi wa taifa letu. Binafsi Nimechoka sioni matumaini lugha za kibabe,visasi,kejeli na Kiburi!
 
Back
Top Bottom