University of Nairobi vs Udsm

University of Nairobi vs Udsm

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana
Hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.

Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.

Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.

Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.
 
Tuma picha, maneno matupu bila ushahidi ni udhalilishaji
 
Ninandugu yangu kule.. Kenya Chuo wanacho kikubali kwenye Engineering ni St Joseph tuu..
 
nakukubusha tu nairobi na udsm zilikuwa chuo kikuu kimoja kabla ya uhuru...

university of east africa ilikuwa na campus 3... ambapo baada ya uhuru ziliamua kujitegemea..

makerere, nairobi na udsm hizo ndizo zilikuwa campus za university of east africa..
 
Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana,hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.
Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.
Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.
UNIVERSITY OF NAIROBI INAZALISHA MAFISADI NA WALA RUSHWA... SASA UNASEMA UBORA KWENYE NINI, Lakini UDSM ni vichwa vitupu, tizama MAGUFULI huyu rais wa Africa alivojifunza uzalendo pale, achilia mbali marais wengine kama kina kagame, kabila, mseveni nk... AU fanya research utagundua UDSM ni noma maana maprofesa wake ndio wanatengeneza POLICY za marekeni na kwngneko, mfano wao n kina profesa MUTAHABA....Usifananishe UDSM na vitu vya ajabu siku nyingine.. SAWA?
 
Ata mimi nilikuwai naamini hivyo,ila niliyoyashuhudia nairobi university nimebadlisha mtazamo wangu.
 
Acha waliosoma vyuo vya kata vya Tanzania watoe povu lao hapa.

Karibuni!!
Kibongobongo udsm ipo vizuri,sasa kweli tutalinganisha udsm na chuo gani apa bongo?ila majirani zetu wametuacha mbali sana.
 
Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana,hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.
Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.
Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.
Umesikia sakata la William Ruto kupewa PhD hewa graduation ijayo?

Hukuna ushahidi alisoma muda upi, alishiriki semina ya kitaaluma uipi, data collection alifanya lini lakini mwaka huu ana graduate. Hiyo ndiyo University of Nairobi au UON ukipenda.

Usipende kusifia vitu usivyojua undani wake. Na kama ungekuwa Kenya week iliyopita, lazima ungejua hayo.
 
Back
Top Bottom