MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,917
- 40,223
Habari wana JF,
Katika pita pita yangu huku JF nimegundua upepo wa kisiasa unataka kuhamishwa kwa mwana diplomasia B. Membe. Nimetafakari sana mambo yafuatayo:
1. Kwanini Membe? na
2. Kwanini mambo haya yameshika kasi kipindi hiki?
Kwanza Membe ni mwana diplomasia, je hiki ni kiashiria kwamba kuna ombwe la kidiplomasia kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa nchi yetu? Pili haya mambo ya Membe kwanini yanaanza kuchochewa kipindi hiki? Ki uhalisia sasa tunakaribia kipindi cha siasa sa uchaguzi baada ya msimu wa sikukuu tunaingia mwaka 2019 ambao ndio mwaka wa maoteo.
Kwangu mimi nina wasiwasi mwana diplomasia Membe anataka kufanywa scapegoat atangulizwe mbele ili wengine wapite au atumike kama kielelezo cha kuwakanya wengine wenye nia ya kugombea.
Muheshimwa Membe, chukua taadhari.