tanzanitemusiba
Senior Member
- Nov 2, 2018
- 137
- 90
Zamani Degree walikuwa wanasoma miaka mingapi???
Kwanini swiswiemu inampa kiki Mh Member HV?
Kwanini swiswiemu inampa kiki Mh Member HV?
Mkuu unajifunguaa macho,kuna mmoja advance alikuwa hamalizi na kuja IFM napo pia alikuwa hamalizi .hawata elewa... muulize mtatiro yeye mbona anasomaga ma digiriii UDSM akimaliza ana anzanyingine??? au Muulize Paschal Mayalla wao mbona wana madigiriii mengi ya hapo UDSM...
Kuna jamaa nime soma nae advance seminary nilimkuta na nikamuachaMkuu unajifunguaa macho,kuna mmoja advance alikuwa hamalizi na kuja IFM napo pia alikuwa hamalizi .
Kwa case ya BCM alikuwa kilaza?zamani uki disco mwaka wa mwisho unatakiwa uanze kusoma upya.Wako watu kibao waliosoma digrii miaka sita kama alidisco akarudia kwenye digrii aliyoanza kama alirudia miaka mtu digrii kumaliza miaka 10 HAikuwa kitu cha ajabu
Membe for presidency 2020Zamani Degree walikuwa wanasoma miaka mingapi???
Kwanini swiswiemu inampa kiki Mh Member HV?
hili ilikuwa ikitokea sana hasa kwa waajiriwa anapewa ruksa kusoma kukitokea shotage kazini anaambiwa aahirishe .AU MWAJIRI AKIWA anakulipia waweza fika kozi moja unamaliza akakutaka ubadilishe kozi uchukue ingine au ukimaliza anasema soma ingine digrii ya kwanza.Nina mmoja alisoma digrii ya kwanza ya utawala alivyomaliza mwajiri akasema akasome digrii ya sheria ili akirudi awe afisa utawala ambaye atashughulika pia na shughuli za kisheria za kampuni sababu idara ya utawala na sheria viliunganishwa kupunguza gharama za uendeshaji.Kwahiyo alisoma digrii ya kwanza miaka sita chuo kimojaKwa case ya BCM alikuwa kilaza?
huyo atakuwa na akili sana yuko mwingine alirudia darasa la saba enzi hizo mara sita walimu walikuwa hadi wanamwogopa alivyokuwa akijua masomo ya darasa la saba humdanganyi kitu.Kuna jamaa nime soma nae advance seminary nilimkuta na nikamuacha
Tulio wakuta nao wanasema walimkuta yeye kila mwaka yuko form five
Mwenyekiti WA mtaaMh. Memba ndio nani???
Mtaa upi???Mwenyekiti WA mtaa
MtakujaMtaa upi???
Uko wapi??Mtakuja
Mh. Memba ndio nani???
Kama ni kweli, nampa heko. Lakini afahamu "BWANA HARUSI HAKOSI MSINDIKIZAJI" ni vema atambue hilo.Membe for presidency 2020
Mrithi wa safari za nje.Mh. Memba ndio nani???