NABII WA TRUMP

NABII WA TRUMP

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Mtabili wa Trump kamtabilia Mkulu wa nchi kwamba afanyiwe maombi kuna jambo kubwa litatokea TZ je, Ni Jambo lipi hilo???????!!!!
 
Huyo mtabiri hajitaki?
Trump anataka kusifiwa tu
Na kama kutabiri inatakiwa unamtabiri mema tu
Yani we umtabirie kwamba anaenda kufeli?
 
Labda ni mapinduzi ya Membe.
Maana ndiye anayetangazwa kwa chini chini na wanaCCM.
 
Atakuwa Da Mange huyooo, Da Mange na Chahali sio wa kuwaamini. Wanaokoteza story wanaungaunga halafu wanakwambia wamepata kutoka TISS. KWA SASA HATUHITAJI MTU WA KUTUPA UMBEA, UGUMU WA MAUSHA NI TISS TOSHA KWETU, KWA KIFUPI JIWE HAFAI, HASHAURIKI, KAVURUGA UCHUMI, ANAUA, ANATEKA, ANAFILISI, ANATAKA WOTE TUWE MASKINI HALAFU ANASEMA TUMUOMBEE...inauma sana.
 
Back
Top Bottom