Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kifupi huku kwetu mvua zimekua ni adimu tumepamda mahidi sasa yapata mwezi mmoja umeisha yapo chini ya aridhi hayajaota.. Nijuzeni huko mulipo hali ipo vipi?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanabodi.. Rais alitangaza kununua korosho zote kwa wakulima kwa bei ya 3300 na alisema takribani billion 600 zitatengwa kulipa wakulima takribani Tani laki 2 zilizovunwa. Lakini mpaka...
35 Reactions
76 Replies
13K Views
Ndugu zangu,ukisikia kuokoka kwa tafsiri ya kawaida ni kuacha dhambi.Mtu anapobatizwa ni kiashiria cha kufuta dhambi zake.Kwa msingi huu waumini wa madhehebu karibu yote na viongozi wao hutazamwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana JF Naomba nichukue fursa hii kuungana pamoja na wa-Tanzania wenzangu wengi ambao si wanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini. Kimsingi, sababu za kutokua mwanachama wa chama cha...
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Hii ndo stand ya mkoa. Jua likiwaka inajaa vumbi, mvua ikinyesha inajaa tope haiingiliki. Stend ni ndogo sana na hutumiwa na mabasi ya mikoani pamoja daladala (Hiace) ziendazo wilayani na maeneo...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kuna kitu huwa nashindwa kuelewa labda watalaamu was saikolojia na waganga ksma akina Mshana Jr watatusaidia. Kwa ukiwa na mtu wako wa karibu na ukapata njozi hizi (1) Amefariki basi ujue mgonjwa...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sijawasikia hawa waandishi nguli wa Kanda ya Ziwa. Wako wapi?.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu salaam kwenu, Naomba kuuliza kuna kero moja imeniaharibia kabisa siku yangu leo. Mdogo wangu katumia gari yangu kwenda kanisani, bahati mbaya week mbili zilizopita niliwahi kamatwa kwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakubwa zangu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninahitaji kujua hotels au lodges nzuri kwa mkoa wa arusha kwani ninatarajia kwenda huko kwa siku kadhaa.Badget ni 30000-50000.
0 Reactions
53 Replies
17K Views
Hii michezo ya kamari kwenye TV imefika mahali inakera! Watu wanasema "shinda mamilioni ubadilishe maisha yako, halafu wanasema walio na umri chini ya miaka 18 wasicheze! Hii ina mantiki gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba wawili wanapo pigana wewe swala shangilia tu, lakini haijalishi yupi atashinda bado wewe utaendelea kuwa kitoweo.. Kabla hujawa mfuasi au mshangiliaji wa mtu flani kwanza jiulize vipi...
0 Reactions
4 Replies
787 Views
Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amevunja bodi ya Benki ya Ushirika (KCBL) uamuzi uliokwenda sambamba na maazimio ya mkutano mkuu wa wanahisa uliofanyika Septemba 11, 2018...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wapendwa, pia pole kwa kupambana na hali ngumu ya maisha. usiku wa kuamkia leo mama kaota ndoto ya kuwa 'kaenda hospitali kufanyiwa uxafi wa tumbo la uzazi na kwa ushahidi wa daktari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama swali linavyouliza hapo juu,je ni umbali gani kisheria ambao unakubalika kwa mtu anayesikia wimbo wa taifa ukipigwa anatakiwa kusimama kuonyesha utiifu? Au ni katika hali gani anatakiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Usafi ni ujuzi wa kujifunza. Hii ni kwa sababu binadamu tunazaliwa pasi na uwezo wa kung’amua wala kuutambua uchafu. Mwangalie kichanga mdogo – anakojoa na hata kujikolea na wala hana wasiwasi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuwakataza clouds wasifanye fiesta leaders club, kwa kisingizio cha wagonjwa na ukaribu wa watu, kwa minajili ya kusumbuliwa na kelele na kuruhusu lipuli stadium kwa wasafi ni siasa za maji taka...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Imeripotiwa na vyombo vya habari kuwa katika kanuni mpya za malipo ya pensheni mwenza wa mstaafu akifariki mjane/mgane anayebakia atalipwa pensheni mpaka aoe au aolewe tena. Mkurugenzi Mkuu wa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Hakika haya ni mapinduzi ya burudani, watu wapo nyomi na wa nnje bado wanaingia ndani, Hongera sana Diamond Platnumz japo wengi wanakuchukia sababu ya wivu lakini ipo siku watakuja kukukumbuka...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwanini alinitahiri bila ya ridhaa yangu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…