Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 564
- 1,567
Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko
Mbona hao jamaa siku hizi ni kawaida tu !!. Mwz parking zote wamepanga bidhaa zao.Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko