yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Hii ndo stand ya mkoa. Jua likiwaka inajaa vumbi, mvua ikinyesha inajaa tope haiingiliki.
Stend ni ndogo sana na hutumiwa na mabasi ya mikoani pamoja daladala (Hiace) ziendazo wilayani na maeneo ya jirani.
Ushuru ni mkubwa, kwa sasa umefika sh. 2,000 kwa kila daladala.
Hivi ni kweli serikali imeshindwa kukarabati stend hii? Na kama imeshindwa je kina nshomire hasa waliojaa huku Dar na mijengo ya mabilioni wanashindwa kujichanga ili kuficha aibu hii ya huko watokako.