Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Kuna kitu huwa nashindwa kuelewa labda watalaamu was saikolojia na waganga ksma akina Mshana Jr watatusaidia.
Kwa ukiwa na mtu wako wa karibu na ukapata njozi hizi
(1) Amefariki basi ujue mgonjwa you buheri wa afya na mda atapata nafuu
(2) Amepona na afya kuimarika vizuri kabisa basi hapo andika maumivu na subiria taarifa mbaya mda sio mrefu
Binafsi sijajua uhusiano was mambo haya na kwa mini njozi kama hizi zije. Hizi ndoto zinawahusu wale wanaota mambo na yakatokea.