keki ya harusi
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 271
- 432
Wanajamvi habari za mida poleni na uchovu na maumivu yanayotokana na changamoto za awamu ya viwanda
Ndugu zangu wanajamvi Mimi ni kijana mtanzania mwenzenu nipo chuo mwaka wa tatu sasa nasoma medicine si haba bodi wananilipia ada japo kwa asilimia ndogo sana nashukuru kwa hicho
Ndugu zangu wanajamvi ada imekua mwarobaini kwangu nasoma kwa tabu na msongo wa mawazo kiasi nakata tamaa nimezunguka sana kwa wadau mashirika taasisi nk lkn bado sijafanikiwa kupata msaada hvyo naandika Uzi huu kwa mwanajamvi yoyote si kwamba msaada ni pesa ila hata ushauri au kama mtu anafahamu wapi naweza hata kukopeshwa pesa nilipe ada ili nimalize masomo yangu nitashukuru sana wanajamvi wenzangu
Wenu Mimi mwenzenu ktk mapambano haya
Cc kazi na bata