Mitihani kidato cha pili yasitishwa Zanzibar

Mitihani kidato cha pili yasitishwa Zanzibar

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Waziri wa Elimu Zanzibar, Riziki Pembe Juma amefuta mitihani yote ya kidato cha pili iliyokuwa imeanza leo Desemba 3 visiwani humo

Uamuzi huu umechukuliwa kutokana na kubainika kwa udanganyifu
 
Mnhh... Zanzibar saizi hawapo NECTA!?

Wanajifanyia yao.
 
Zanzibar si wajitenge tu sasa wajue yao tujue yetu. Kama ni mihimili mitatu ya nchi yani serikari, bunge na mahakama wanavyo wanakuaje wanamuungano na sisi?
.
Au kale kaubabe ka JK bado wanakaogopa japo kafa?
 
Kwamba wanahalalisha ule ufutaji wa NEC
 
Back
Top Bottom