Wapo wanaodai kuwa wachaga hupenda kwenda Moshi wakati wa krismas
kufanya madhambi kama ngono baina ya hata ndugu yaani watoto wa baba mdogo au mkubwa, wajomba hata wakwe hapa hujaingiza ngozo za...
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu mfano Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief...
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAENDELEA KUSISITIZA KUWA KINAENDELEA NA KITAENDELEA KUSIMAMIA, KUFUATILIA NA KUSHUGHULIKA NA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE WA TANZANIA MUDA WOTE*
08 Desemba 2018
Katika...
Habari,
Husika na kichwa hapo juu,simu yangu galaxy note 3 imekufa Imei number mwenye ujuzi wa kunisaidia anichek kwa namba 0625697394. Nipo Kimara mwisho.
Asante
" Mwizi hukamatwa na Mwizi mwenzake "
Kwahiyo hapa wanamaanisha labda kwamba na Mimi GENTAMYCINE nikija kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2045 au 2055 ili niweze Kuwashika Wala Rushwa itanibidi na Mimi...
Kiukweli kwa muda wa siku tatu sasa eneo la chalinze KING'AMUZI cha Azam limekuwa na hakionyeshi station nyingine zaidi ya Tbc 1. Na nimelipia Kina wiki sasa. Naomba kwa wahusika Kama mtapita hapa...
Matukio ya wanasiasa kupigwa risasi mchana kweupe hayakuanza jana wala juzi, ingawa kwa kawaida hushitua watu lakini pia chanzo hubaki katika nadharia tu mbalimbali ambazo hujaribu kueleza ukweli...
Akichangia leo Bungeni Mh. Prof Juma Kapuya amesema elimu ya Tanzania kwa sasa ni duni sana, Wandishi wa Habari hawajui kabisa kuongea Ki English, ndo maana wanashindwa kuhoji chochote wakikutana...
**********Binafsi napenda matamasha na miziki, kwa kuwa vyatuliwazzzzzzzaaaaa, naomba kuuliza maswali machachee apaaa
1. Usalama wa halaikiii hapa uwanja wa ndege je upo sawa? (nijuavyo uwanja wa...
Habari msomaji!
Nataka kuliweka wazi ili suala la utapeli unaozid kuenea kila siku na wengi wakiwa ni waanga, kuna matangazo mengi ya kibiashara hususani yale yanayo postiwa #zoom...
Naomba kuwaulizeni hivi kuna ' Great Thinker ' wa kweli na aliyetukuka kabisa ambaye huwa anamuelewa Ansbert Ngurumo na yale yote ambayo ama huwa anayaandika, anayaibua, anatuaminisha nayo na...
Wapendwa habarini za jumamosi, natumai weekend inakwenda vizuei.
Naomba kuwauliza ndugu zanguni hivi labda kuna mtu yeyote humu ama unaemfahamu ameisha wahi kupata ajira kupitia ajira portal...
1. Lowasa kasikika na zaidi ya hapo akionekana wazi kumsifia magufuli, kwenye hili ni dhahiri kua yule ni lowasa na ile ni pia ni sauti yake, na ndio maana kwa clip ile hakuna hata mmoja...
Moja kwa moja kwenye hoja
Kiswahili ni lugha inayokua kwa kasi na kupendwa na mataifa mengi Africa hata kupendekezwa kuwa lugha ya bara zima la Africa, zipo sifa nyingi lakini kuna wimbi la lugha...
Mambo vipi Tanzanians,
Imeshakua ndio tabia yetu tuliowengi kwa sasa, vizazi vyetu vitaiga na rasmi itakua ndo mila yetu miaka michache ijayo.
Jirani/Jamaa akifiwa na hujahudhuria au hujachangia...
Heshima kwenu wanajamvi!!
Moja kwa moja kwenye mada, Najiuliza huu utaratibu wa kutaifisha korosho eti mtu akishindwa kuonyesha shamba no ubabe au ujambazi?
Je, inawezekana korosho zikalimwa...