Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,295
- 51,728
Moja kwa moja kwenye hoja
Kiswahili ni lugha inayokua kwa kasi na kupendwa na mataifa mengi Africa hata kupendekezwa kuwa lugha ya bara zima la Africa, zipo sifa nyingi lakini kuna wimbi la lugha hii kuharibiwa na hata mbele ya safari kuwapoteza wale wanaohitaji na kupenda kujifunza lugha yetu.
Kuna ushahidi mwingi upo wazi hata leo kuna mdau amepost kasoro za kiuandishi zinazozidi kukithiri kwenye lugha hii pendwa
Imefika wakati sasa timu ya Mods humu JF kuchuja na kurekebisha uandishi ili kukilinda kiswahili kisiendelee kuwa potofu kwa wasomaji, na wazungumzaji waliopo na wale wajao
Yapo makosa mengi yanayofanywa na waandishi wa habari tena kwa taaluma, lakini yapo makosa yanafanywa na wazungumzaji wa kawaida kabisa ambayo JF kama chombo kisiposaidia kutoa mchango wake katika kunusuru kuharibika kwa kugha hii, basi itafika siku hata hapa jukwaani hatutaweza kuelewana sisi kwa sisi.
Haya hapa ni baadhi ya makosa yaliyojitokeza katika uandishi nanyi mkayaacha yaonekane kwenye kurasa kama yalivyo huku mkijua yanaharibu taswira ya lugha
Kuakiki mikorosho huku mkulima analia na njaa ni kukosa ubunifu
Kihoja cha mwaka moshi kilimanjaro
Tunaofatilia Sultan tukutane hapa
Waandishi mnatuchanganya na viswahili vyenu vibovu
Nawasilisha