ASKARI wako wapiii....TUNAPIGAaa sisi Tunapigaaa, huu UWANJA WA NDEGE wahitaji jicho La PILI

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,771
7,709
**********Binafsi napenda matamasha na miziki, kwa kuwa vyatuliwazzzzzzzaaaaa, naomba kuuliza maswali machachee apaaa
1. Usalama wa halaikiii hapa uwanja wa ndege je upo sawa? (nijuavyo uwanja wa ndegee ni sehemu isiyotakiwa kusanyiko ivii,)
2. Hawa wanafunzi wa shule (na walimu), VS matukio ya shughuli muhimu za serikali vinalandanaa. saa ngapi wataelewa umuhimu wa skuli?
3. Je saidizi/(misaada itolewayo) hizi zifanyikazo ni endelevu?
4. Je umeona kuna jambo fulani wana jammii wanalikosaa? endapo ndio/hapana waweza toa maoni yako

sijaelewa mantiki yako ni ipi hasa, wakichangia wenzangu nitang'amua jambo ngoja waje.
 
**********Binafsi napenda matamasha na miziki, kwa kuwa vyatuliwazzzzzzzaaaaa, naomba kuuliza maswali machachee apaaa
1. Usalama wa halaikiii hapa uwanja wa ndege je upo sawa? (nijuavyo uwanja wa ndegee ni sehemu isiyotakiwa kusanyiko ivii,)
2. Hawa wanafunzi wa shule (na walimu), VS matukio ya shughuli muhimu za serikali vinalandanaa. saa ngapi wataelewa umuhimu wa skuli?
3. Je saidizi/(misaada itolewayo) hizi zifanyikazo ni endelevu?
4. Je umeona kuna jambo fulani wana jammii wanalikosaa? endapo ndio/hapana waweza toa maoni yako

hako ni kanaitwa ka 'airdrome' ni ka kiwanja kadharula nakadogo sana, sio uwanja bize, ndio maana hata hao watoto wamejaa jaa tu uwanjani.
 
Huo uwanja wa ndege wa sumbawanga ni mkubwa hauna udhibiti. Magari na watu wanakatisha katikati kwenda upande wa pili ktk Shughuli zao kila siku. Pia umekaribiana na shule ya msingi ndio maana unaona wanafunzi waibukia Hapo kwa wingi
 
Back
Top Bottom