Kwani kila krismas lazima wachaga waende Moshi, je ni kweli kuwa...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani kila krismas lazima wachaga waende Moshi, je ni kweli kuwa......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 25, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wapo wanaodai kuwa wachaga hupenda kwenda Moshi wakati wa krismas
  kufanya madhambi kama ngono baina ya hata ndugu yaani watoto wa baba mdogo au mkubwa, wajomba hata wakwe hapa hujaingiza ngozo za kawaida.

  kuwa wanakwenda kuonyeshana pesa waliyochuma nje ya mkoa hasa kwa njia haramu na mauza uza mengine. Kweli hapa ukimwi tutaushinda yarabi?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kweli wewe ni mpayukaji.

  Je ni kweli wengine wanapaona makwao kama vituo vya polisi?Wamesahau wazazi na ndugu zao waliowaacha kijijini kabisa?Hawana cha maana walichofanya hivyo wanaogopa kwenda kijijini kwa aibu?
   
 3. m

  mataka JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wanaenda kutambikia ili hizo pesa zao za haramu ziendelee kutakaswa. Waulize watakukwambie!
   
 4. a

  adobe JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Tatizo lenu mmeishia kupanga nyumba za kifahari mjini tena nyingi za wachaga mkasahau kwenu.wenzenu mjini wamo na vijijini wamo.we kwenu hakuna hata choo umezoea kuchamba kwa maji ktk nyumba za wachaga ukienda kwenu utachamba udogo?jengen utamadun wa kwenda kwenu then utaona aibu na utajenga
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  chasaka huyu
   
 6. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii inaonesha ni jinsi gani ulivyokuwa hutumii ubongo kufikiri.Tumia akili wakati unaongea.
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Ngoja ninyamaze tuuu nisije pigwa ban bure.
  Maana huyu mleta mada cjui katumia kiungo gan kufikiri
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nawasifu sana Wachagga kwa utamaduni wao huu!

  Zamani nilikuwa mmoja wa wanaowashangaa wachagga kwa tendo lao hilo!

  Lakini with time nimekuja kugundua kuwa ni utaratibu makini sana ambao uko organised kwa akili sana, actually ndicho kitu kinawaweka hapo walipo.
  Hakuna discussion constructive inaweza kufanywa kwa simu bana, ni lazima sana kukutana physically, na kubadilishana mawazo, kupeana dili, na kuigizana mwenzangu kafanya nini, na hivyo na mimi nifanyeje!

  Kitu kingine kwa miaka hii ya ugumu wa maisha unaweza kuta watoto wa binamu zako huwafahamu kabisa, na hivyo kukutana kuna'cement koo pamoja na kujenga unity za ukoo, lakini na kabila zima!
  Hakuna kabila lililo organised kama wachaga Tanzania hii, na matokeo yake kila mtu anayaona, wako juu!
  Mema tuyapongeze jamani na si kucritisize tu!
  Mambo yanayodaiwa juu yao eg kufagilia makaburi ni mambo ambayo yeyote kati yetu akienda kwao lazima atafika kwenye kaburi la nduguye, its no wonder!

  Nawapongeza sana wachagga....actually baadhi ya makabila kwa sasa ndiyo wako kwenye taratibu za kuanzisha kitu hii!
   
 9. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtaishia hivyohivyo na chuki yenu dhidi wa kabila lililotukuka la Wachaga,mbona ninyi mnakimbia kwenu na kung'ang'ania mijini,si kwa sababu kwenu ni ktk mapori? Hebu nenda vijiji vya Uchagani then ulinganishe na kwenu!
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wachaga ni kabila celebrity Hapa Tanzania,chaga run this country.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,559
  Trophy Points: 280
  we ni mzaramo nini au mkweree????!!! upupu+mashudu=pumba. inakuuma sana bac kajinyonge
   
 12. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamaa inaonekana krismass yake imekaa vibaya ndio maana kaamka na upupu.
   
 13. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mim c mchaga bt nimekaa moshi kwa muda hawa jamaa nawapongeza sana, kwa kipindi kama hiki kwao ni muhimu sana kwa kukaa pamoja kubadilishana mawazo na pia kupeana misaada ambayo ni ?o constructive. Kwa ambaye hawajui vzr huenda akawasema bt 4 mi am sure makabila mengne yangekuwa kama hawa jamaa 2ngekuwa mbali sana. So napenda sana wanavyojali kwao
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  kwani kila mwanamke lazima atolewe bikira??
   
 15. Mdutch

  Mdutch JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mpayukaji kama ilivyo ID yako.
  Nawapongeza wachaga kwa kukeep African tradition ya togetherness.
  Msimu huu famillia za kichaga zinazokua maeneo mengine ya nchi na hata hii dunia hurudi nyumbani kwa lengo la kukutana na ndugu jamaa na hata marafiki.
  Hukaa pamoja na hata kusaidiana kwa wanafamilia wanaoonekana mambo yao kutokuenda vizuri.
  Wanakaa kula na kunywa pamoja kama ndugu kwa kua kwa mwaka mzima kilam mtu anakua mbali kusakanya maisha.
  Hawaogopi kwenda kwao kwa kua wamejijenga vizuri huko tofauti na makabila mengine ambayo yakifika mjini basi yanakua yamefikia kweli kweli na kusahau nyumbani.

  Keep it wachaga.
   
 16. Mdutch

  Mdutch JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wanatambika na wanafanikiwa kwa nini wewe na kabila lako msiwaige mkatambike ili nanyi muendelee?
   
 17. Mdutch

  Mdutch JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili yako siku zote inawaza ngono na imekaa kingono ngono! Kwa kua umekua ukingoneka na ndugu zako basi unadhani kila mtu anfanya kama wewe. Kwa kua akili yako imejaa ngono tuu, basi unadhani kila mtu nae anawaza ngono tuu. Usiwapimie wachaga wewe. Wanawaza pesa na wanazimeki kweli kweli na pesa ni kuspend na wao wanaenda kwao kuspend. We baki hapa mjini na ngono zako
   
 18. M

  Makupa JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sio kwamba wachagga wanaenda kwao wakati wa krismass kwa ajili ya kuonyesha walichovuna,kikubwa ni kwamba hawa jamaa wamejenga kwao vizuri sana hivyo kwenda mapumziko mwishoni wa mwaka haiwasumbui sana.Wito wangu ni kwamba nyie ambaob hamtaki kujenga kwenu hamtakaa mmpate hamasa ya kwenda kwenu iwe wakati wa mapumziko ama la na msisubiri mpaka mmpate matatizo ndio muone umuhimu wa kwenda kwenu igeni hii tabia ya wachagga inajenga jamii kujitambua
   
 19. M

  Mkomandaa Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wachagga tuwape kongole kwa kupenda kwenda kwao kila Krismas. Kwamba wanaenda kufagia makaburi, Kufanya ngono, nakadhalika nakadhalika ni ifinyu tu wa tafakari. kwani huko walikokuwa hakuna wanawake au hakuna tunguli za kurogea. Tena siku hizi tunguli zipo mfano wa zile za mtandao wangeweza tu kubaki walikokuwa. Lakini kuna maendeleo kwenye kukutana. Hebu tuchukuwe matokeo chanya ya kukutana kwao na tusahau hayo yaliyo hasi kwani yanaonekana siyo ya maana kabisa.

  Kwani kwanini wengine hawaendi kwao?

  1. Ndugu Kuwaonea wivu na kijicho ndugu zao waliopata maendeleo makubwa.
  2. Baada ya wivu na kijicho kunatokea kurogana.
  3. Baada ya kurogana kunatokea kuugua kwa ajabu na hata vifo visivyoelezeka.
  4. Baada ya vifo na kuugua huko hutokea uadui na chuki kubwa kati ya ndugu na ndugu
  5. uadui ukitokea unatiliwa nguvu sana na kukutana. Ndugu wanapokutana basi ndiyo kurogana kunafikia kiwango cha juu.
  6. Kwa mantiki hii ndugu wanalazimika kutengana ili kuepuka adha hizo za ndugu.

  Kuna mkoa mmoja ukijenga nyumba nzuri Ndugu zako wanasema unataka uwatemee mate. Basi kila ndugu atakutembelea kwa magagula mpaka wakuzike. Na itaendelea hivyo mpaka ukoo wako ufutike. Jamani hiyo ndizo taabu za wenzetu wasioenda kwao.

  Sasa Kama Wachaga wanaroga, wanaroga wapate pesa. Kama wanazipata kweli basi igeni na ninyi mzipate muendelee. Kuwashutumu mmepoteza dira.
   
 20. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu nimeuliza tu halafu nyinyi mnanishambulia. Kwanini msijibu hoja kwa utuo na maarifa badala ya matusi na hasira. Kama wanafanya hivyo wakulaumiwa siyo muulizaji.
   
Loading...