Ipingwe sauti yake au tangazo lake?

Ipingwe sauti yake au tangazo lake?

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
744
1. Lowasa kasikika na zaidi ya hapo akionekana wazi kumsifia magufuli, kwenye hili ni dhahiri kua yule ni lowasa na ile ni pia ni sauti yake, na ndio maana kwa clip ile hakuna hata mmoja aliyekanusha ujumbe ule

2. Siku sita baadaye limetoka andiko lake la ukurasa mmoja likielekezwa kwa vyombo vya habar, maaudhui kubwa ni kufafanua na kukanusha tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake baada ya ziara ile ya ikulu

Swali: kauli ya mtu inapopingana na mtu huyo huyo ifuatwe ipi? Sauti au maandishi? Ikumbukwe maandish inaezaikawa hajaandika yeye, na saini ake ikapachikwa kutoka kweny nyaraka nyingine lkn sauti ni yake

Mim naamin sauti yake mpaka sauti yake nyingine itakapokuja kukanusha kwa kina sauti ya awali, maandishi ni propaganda kweny tuhuma hizi..
 
Hii mada watu wahajaiona au ni dharau tu
 
Back
Top Bottom