Mgeni rasmi kutokutokwenda msalani

Mgeni rasmi kutokutokwenda msalani

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Sijawahi kuona,tena katikati ya sherehe-kulikon?
 
Nami najiulizaga hilo swali.

Hata Bibi/Bwn harusi no. hua wanaisoma ipasavyo pia.
 
Umejiunga jan30 2018 lakini bado hujui kuandika thread vizuri hadi Leo? Una tatizo gani?
 
Kawaida anakuja amechekewa na akifika ofisini kabla hajaja kwenye tukio hujisaidia kabisa na akija anakaa kwa muda aliopangiwa mara nyingi hauzidi masaa matatu. Baada ya hapo akitoka anapitia bahasha yake na kuondoka

Ni sawa na padri, mchungaji na sheikh akishaingia mazabahuni no mpaka amalize lakini kabla hajaja anajiweka fresh kwanza. Mbona bank huwa tunaenda hakuna vyoo tunamudu kukaa muda mrefu bila kwenda chooni. Ni kujitune tu
 
Mgeni rasmi hanywi soda nyingi kama waviziaji wengine,yeye mara nyingi anapiga maji kwa kuotea.
 
sir khan,umewaza vyema
 
Kawaida anakuja amechekewa na akifika ofisini kabla hajaja kwenye tukio hujisaidia kabisa na akija anakaa kwa muda aliopangiwa mara nyingi hauzidi masaa matatu. Baada ya hapo akitoka anapitia bahasha yake na kuondoka

Ni sawa na padri, mchungaji na sheikh akishaingia mazabahuni no mpaka amalize lakini kabla hajaja anajiweka fresh kwanza. Mbona bank huwa tunaenda hakuna vyoo tunamudu kukaa muda mrefu bila kwenda chooni. Ni kujitune tu
Kumbe huwa wanapitia bahasha?
 
Back
Top Bottom