Huwa namwelewa sana Mange Kimambi najitahidi hivyo hivyo kumuelewa Evarist Chahali ila Ansbert Ngurumo simwelewi kabisa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Naomba kuwaulizeni hivi kuna ' Great Thinker ' wa kweli na aliyetukuka kabisa ambaye huwa anamuelewa Ansbert Ngurumo na yale yote ambayo ama huwa anayaandika, anayaibua, anatuaminisha nayo na anatulazimisha tuyaamini?

Kuna Msanii mmoja wa Kitanzania ( nimemsahau jina ) aliwahi Kuimba / Kusema kwamba siyo lazima kila Mtu awe Mwimbaji bali wengine pia tunaweza Kujigawa katika kufanya mambo mengine na tusilazimishe visivyolazimika na ambavyo Kimsingi hatuviwezi na sasa naanza kumuelewa.

Nawasilisha.
 
Aisee!! Mbona hukuandama!.... Uliogopa kupata tabu!? Unamuelewa mange kivipi? Fafanua..
 
Huyo Msanii Alieimba Sio lazima watu wote waimbe ni Selemani Msindi Alias Afande Sele.

Na kwa hao wanaharakati mie namuelewa zaidi Ansbert Ngurumo Uyo Mange ingawa kuna muda anaongea points lakini namuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine.

Evarist Chahali nilikuwa namuelewa zaidi zamani, Siku hizi naona maisha yamempiga ndo mana kila linalomjia kichwani anaandika.

BTW, Napata shaka na hulka yako,Mwanaume wa kweli hawezi kumuelewa Mange Muda Wote. Mtu anayekesha mitandaoni kuchambana na watu na kutukanana.

Naamini kuna kitu hakipo sawa kwako.
 
We zero brain utamuelewaje mwenye akili kubwa

Unamuelewa mange kwa kuwa mnafanana akili (akili kisoda)
 
Back
Top Bottom