KING'AMUZI CHA AZAM

KING'AMUZI CHA AZAM

ndama1285

New Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Kiukweli kwa muda wa siku tatu sasa eneo la chalinze KING'AMUZI cha Azam limekuwa na hakionyeshi station nyingine zaidi ya Tbc 1. Na nimelipia Kina wiki sasa. Naomba kwa wahusika Kama mtapita hapa basi mjaribu kutujuza Shida ni nini???
 
King'amuzi kinachoonyesha TBC tu ni kile ambacho hakijalipiwa,
Wewe unahika uliweka Number Vizuri bila kukosea??
 
Kinaitwa kisimbusi, sio king'amuzi! Jamani hebu jaribuni walau kumsikiliza on sigara.
 
Back
Top Bottom