Halafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusikaWengi wanapigwa kwa kutotumia akili we mtu unaambiwa eti TV ambayo thamani yake 2 mls unaambiwa eti laki 7 mpya kabisa. Hivi kwanini usishtuke?
Na mhusika anakwambia yuko Zanzibar wakati wewe uko SingidaHalafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusika
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mhusika anakwambia yuko zanzibar wakati wewe uko Singida
harafu unasema umeibiwa na watu wasiojulikanaHalafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusika