Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa kitengo cha usajili vifo na vizazi kinondoni ni shida sana, yaani cheti cha kuzaliwa unaweza kuchukua hadi miezi mitatu hadi sita wengine. Kwa hili nimzmkumbuka Makonda alipokua DC Kinondoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Fursa za reli ya kisasa zaanikwa. Wakati mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya standard Gauge Railway (SGR). Ukiwa umefika asilimia 47,imeelezwa kuwa utaenda sambamba na kasi ya ukuaji wa viwanda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma kitabu kinaitwa The Slaughter: Mass Killings, Organ Harvesting, and China's Secret Solution to Its Dissident Problem. Kitabu hiki kimeandikwa na bwana Ethan...
8 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wandugu Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika. Nilikuwa mwajiriwa na mara...
27 Reactions
137 Replies
14K Views
Shahidi wa nne wa Jamhuri, Kamishna Msaidizi wa Ardhi, Mathew Nhonge katika kesi dhidi ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group Company Ltd na Kiluwa Free Processing Zone, Mohamed Kiluwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zoezi la kupata utambulisho wa taifa ,katika vijiji vya Geita husani Geita Vijijini limekuwa linakatisha tamaa baadhi ya wananchi ikiwemo kudharauliwa, kukejeliwa na kutothaminiwa. Nikiwa kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Hivi inawakilisha shia au Sunni? 2. Je, kama ni dhehebu fulani la kiislamu kwa nn iwakilishe wote? 3.Je baraza hili mfano likiwa linawakilisha waislamu Je lina Uhuru gani dhidi ya serikali...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ajali iliyohusisha pikipiki aina ya Toyo 125cc na gari aina ya Landcruiser Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja hapo Sakina Silent Arusha mjini majira ya saa tatu oo nusu ya usiku na...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kwa mfano waziri wa fedha philip mpango kasoma HGE, kidata kasoma HGE, na wachumi kibao pale udsm wamesoma HGE. Inamaana uchumi hauhitaji hesabu au ndi mana nchi inakwenda ndivyo sivyo kwa sabau...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Salaam Wadau! Naomba msaada wa namba ya simu ya mkononi ya mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Meru...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimebahatika kuitwa kwenye interview utumishi kwa kada ya procurement na hii ndio interview yangu ya kwanza utumishi naomba kupata uzoefu kwa watu wa kada ya ugavi waliobahatika kupita kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kweli wamekuwa kero na hali ni ngumu kuelekea sikukuu, jamaa nao wameamua kuongeza ubunifu na hivyo kuwaliza wengi. Tusaidiane kujua maeneo hayo hasa ya kudumu ili kuokoa kilichoko mifukoni...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO: (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipo maliza...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kuendesha pikipiki uwa kunapunguza uwezo wa mtu kutafakari mambo? Hawa bodaboda akili yao inashangaza sana. Yani ikitokea kasababisha ajali wenzake watamshambulia huyo mwingine asiyekuwa na...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna Rafiki yangu anataka cheti cha manjano cha kusafiria Kama kuna mtu anaweza kutupatia cha Dili pouwa. PM Update Ahsanteni kuna mdau kanisaidia nimesha kipata cheti cha manjano.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Balozi Idd ataka wanawake wasiogope talaka Alisema sio vizuri kuwaficha wanaume wanaoharibu watoto kwa kisingizio cha kutokuweza maisha bila ya ndoa. Akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Niwatakie sikukuu njema na baraka tele wana JF wenzangu. Hii si mada ya kisiasa lakini katika ukurasa huu naweza kuwa nimewakwaza mtu mmoja mmoja chama, kada mkereketwa au mwananchi wa kawaida...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
NMB yatoa msaada wa mabenchi 52 Muhimbili Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee an watoto, Dk Faustine Ndugulile akizungumza baada ya kupokea mabenchi 52 ya kukalia jamaa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa natafakari hivi kwanini watu wanaoamini uwepo wa Mungu wakiulizwa maswali hasa yale magumu huishia kutukana na kutishia watu na huwa wakali mithili ya mbogo aliyefukuzwa na...
13 Reactions
97 Replies
12K Views
Huwa napata tabu sana kila ninaposhuhudia matendo ya hawa ndg zetu, nashindwa kupambanua utimamu wa akili zao kabisa. Unapokwenda mochwari yeyote ile kwanza ni lazima utaambiwa muhudumu wa...
1 Reactions
60 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…