Maeneo hatari kwa mchezo huu ni miyomboni maeneo ya voda shop,posta ,Ipogoro,Kihesa na stand kuu
Bila kulidhibiti hili kundi la hawa vijana jeshi letu litaendelea kusumbuka kila siku.
018 by Global Publishers
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna ameeleza juu ya tukio la kupotea kwa Mkuu wa Chuo cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya...
Wakuu salama
Kama mada inavyojieleza
Mwakani January 2019 nitafungua Chuo changu cha kutoa elimu ngazi ya cheti kwa fani za hotel management,tourism,tour guide,computer na ujasiliamali
Chuo...
Kuna mwingine unaweza msaidia kutoka kwenye janga.. Baada ya hapo atakufanyia ubaya
Kuna mwingine kigeugeu mno.hashindwi kukugeuka sekunde yoyote...unampa lifti thn anakutisha nipe hela la sivo...
Tar 12 /12 kamati ya siasa ya CCM Jimbo la Babati mjini imetembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa
Baadae ilihitimisha kwa kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa wa hangoni...
Serikali imepiga marufuku uchomaji matofali kwa njia ya tanuri kwa kutumia nishati ya kuni hasa katika maeneo ya mijini na badala yake imewataka wachomaji hao watumie pumba kama nishati mbadala...
Kazi ya Usimikaji wa Nguzo za Umeme utakaotumika Kuendesha treni za Kisasa zitakazotumia Umeme na Reli ya kisasa - SGR imeanza eneo la Soga nje Kidogo ya Kambi ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa liyopo...
Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo...
MAZOEZI ni muhimu kwa afya ya mwanadamu lakini ikiwa yatafanyika holela muhusika anajiweka katika hatari zaidi badala ya faida, imefahamika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
Ndugu wanajamii nimepatwa na jambo la kuumiza sana na naamini tupo wengi wahanga wa kuibiwa katika hizi bus za abood, nasema hivi kwakulingana na wingi wa taarifa ambazo police wamekua wakipokea...
Kila pahala sasa ni kuhisi kuhujumiwa tu,leo tena mawakala wa ukatishaji tiketi wa mashirika ya ndege wametupiwa lawama kuwa wana lihujumu shirika la ATCL,
Hivi kwanini tuhisi tunahujumiwa kila...
Tuko ndani ya basi hili la Morogoro-Dar ni saa 3 na robo usiku kondakta ameamua kuweka sinema ya kishenzi ya mapenzi inayoonyesha mwanaume akiwabadilisha wanawake mbalimbali chumba cha guest...
Miezi yoooote hiyo hutakaa uwasikie sumatra wakiwajibika kwa jambo linalohusu nauli, ispokuwa kipindi hiki.
Yaani sumatra hawasikiki hadi ifike December
lakini mimi najiuliza swali dogo ambalo...
Marehemu Odila Ongara alikuwa mtumishi mwandamizi serikalini hadi kufikia ngazi ya Katibu Mkuu wa wizara mbalimbali. Amefia Iringa jana.
Poleni wafiwa wote.
NI KIVUMBI KWELI KWELI
Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.
Moshi...
Moto mkubwa uliowaka usiku wa kuamkia leo umeteketeza ghala la Tume ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) Kinshasa, na kuharibu vifaa vilivyokuwa vitumike katika uchaguzi mkuu wa Disemba 23, 2018...
Kijana mmoja wa miaka 20 amezama mtoni na kufariki wakati akibatizwa na mchungaji jijini Accra, Ghana.
Katika picha ya video ambayo imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kijana huyo, Yaw...
Mahakama Kuu ya Tanzania leo, Desemba 13, 2018, imetoa amri ya kuzuia TFF kujaza nafasi ya mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini Danstan Mkundi.
Jaji Kiongozi wa mahakama...