Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,289
- 1,126
Kauli ya kuunga mkono juhudi ni version au kauli nyingine ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti!!...lakini kwa dunia ya sasa inawezekana kweli kila unachosema wewe kikawa saw a na kila MTU akawa anafikiria hivyo hivyo!!?