Wale ambao mshahara utaingia kabla ya X mass tukutane hapa!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Uzi huu ni kwa ajili ya wale ambao tunategemea mwajiri kutema mzigo kabla ya X mass...
Kwa wale ambao hamna uhakika, mnaweza kuweka majina ya waajiri wenu and I will take a trouble to remind them that, Xmass is around the corner.s
 
Poleni sana sisi posho na marupurupu ukichanganya na ile ya kuandikia uongo kwa ajili ya kazi fulani zinatosha hadi tunasahau kuna mshahara..
Mshara ukijatoka unaanza kujiuliza nifanyie nini
 
Uzi huu ni kwa ajili ya wale ambao tunategemea mwajiri kutema mzigo kabla ya X mass...
Kwa wale ambao hamna uhakika, mnaweza kuweka majina ya waajiri wenu and I will take a trouble to remind them that, Xmass is around the corner.s
Hongereni sana,Je sisi tusiokuwa na mshahara tunacomment wapi? Au utatuanzishia uzi wetu?
 
Back
Top Bottom