Msaada: Kwa aliye Singapore, South Africa na US.

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,152
Reaction score
6,601
Habari,
Kwa yeyote anaepatikana Singapore, South Africa na USA au mwenye ndugu, jamaa au rafiki katika mataifa hayo naomba tuwasiliane

Nimepatwa na tatizo, Facebook page yenye wafuasi zaidi ya 45K iliyo-verified (Blue Tick ✅) imepotea/kudukuliwa katika mazingira ya kutatanisha.

Nilihitaji mtu anayepatikana maeneo hayo aweze kunisaidia kupata mawasiliano na Makao Makuu ya Facebook katika hizo nchi.
 
Habari,
Kwa yeyote anaepatikana Singapore, South Africa na USA au mwenye ndugu, jamaa au rafiki katika mataifa hayo naomba tuwasiliane

Nimepatwa na tatizo, Facebook page yenye wafuasi zaidi ya 45K iliyo-verified (Blue Tick [emoji736]) imepotea/kudukuliwa katika mazingira ya kutatanisha.

Nilihitaji mtu anayepatikana maeneo hayo aweze kunisaidia kupata mawasiliano na Makao Makuu ya Facebook katika hizo nchi.
Umekunywa chibuku au ile aliyekuwa anakunywa mzee wa liqudi utumbo mtupu.
 
Hahaha ungemuuliza mleta mada, labda ni facebook account ya ikulu. Unaweza kudhani ujinga kumbe tumeibiwa siri za vikao vya makinikia.
Kikubwa siyo kila page ni mambo ya ajabu. Hii page nimuhimu na anaingiza fedha kiasi.
 
Hahaha lakini Director Cosmopolitan na wewe unashangaza kidogo, unadhani wanaoishi nchi hizo wanamfahamu mmiliki au kujua mawasiliano ya wenye Facebook?!
Kwa uelewa wako nikuulize na wewe, unadhani ni watanzania wangapi wanafahamu mawasiliano ya ikulu, licha ya Rais wetu kuwa maarufu humu nchini?!
Kuna watu nchi hizo hata Facebook account hawana, wewe unaweza kuwa unafahamu mengi kuhusu facebook kuliko wenyeji wa hizo nchi. Ebu fikiria tena.
 
Maana yangu anisaidie kupata mtu au mawasiliano HQ. Mfano nikitaka apply chuo flani Area A nitakutuma wewe unichukulie form

Soma Post! Utanielewa vizuri
 
Back
Top Bottom