ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,030
- 3,908
Maafisa uajiri, hasa wakati wa mahojiano kwa ajili ya ajira(interview) huwa wanuliza maswali mengi sana.Mwishoni baada ya maswali huwa humuuliza muombaji iwapo na yeye ana swali lolote.
Wengi hujianda kwa majibu ya maswali kuhusu mshahara,majibu yatatoka lini na maswali kama hayo.
Leo nataka niwashirikishe swali moja ambalo ni muhimu mkawauliza maafisa uajiri
Swali lenyewe ni hili:Je unajisikiaje Kufanya kazi na kampuni hii/Unaonaji hali/mazingira ya kazi katika kampuni hii(How you feel working with this company?or How do you find the working environment in this company)