Ukakasi wa PhDs na hatma ya Tanzania

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.

Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs sio sifa namba moja.

Ni kama magadi tu lakini sio chumvi kwenye mboga tunayoita hapa kwa jina la 'uongozi'.

Uongozi unataka mtu mwenye busara, uvumilivu, subira, maono, hekima, msimamo thabiti na heshima kwa wale anaowaongoza. Vitu hivi si lazima uvipate darasani.

Daktari lazima asomee udaktari ili afanye kazi ya udaktari. Vivyo hivyo kwa mwalimu, mhasibu, lawyer, mhandisi nk.
Vilevile katibu mkuu wa wizara lazima awe graduate. Sawa.

Hata hivyo kusoma pekee na kujaza mavyeti hakumfanyi mtu kuwa waziri mzuri. Si lazima sana waziri kuwa na elimu ya juu sana kuwa waziri mzuri kwani yeye ni mwanasiasa tu na hategemewi kuingia 'jikoni'

Elimu pia haimfanyi mtu kuwa mbunge mzuri. Mara nyingine hekima na busara tu zinatosha katika uongozi wa siasa.

Hivi sasa umeingia 'ushamba' wa kudhani kuwa viongozi wenye PhD ndio hamira ya maendeleo nchini.

Historia ya karibuni inatuonesha kuwa kuna viongozi walifanya vizuri katika nafasi zao bila degree. Akiwa wizara ya mambo ya ndani, Mrema alifanya kazi nzuri na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka sasa. Hakuwa na shahada wala kishada. Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara na hekima kubwa bila kuwa na 'degree wala nini.

Elimu sio kila kitu. SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.

Msukuma wa Geita hana hiyo degree lakini bungeni anaongea vitu vya maana kuliko wabunge wengi wenye masters!!!
Sumaye hakuhitaji kuwa na degree kuvunja halimashauri ya jiji la Dar lillilokiwa likilalamikiwa kwa rushwa na u Uswahili katika miaka ya 2000. Alifanya kazi nzuri.

Tujiulize wabunge au mawaziri wenye degrees wamefanya nini cha maana ndani ya miaka mitatu ya utawala huu? Wame add value gani? Au wamezikimbia tu taaluma zao kufuata maslahi bungeni?

Mtu asipimwe based on elimu pekee. Heri mtu mwenye cheti halali cha darasa la pili kuliko aliyefoji cha kidato cha nne. Waende beyond vyeti. Kwa mfano haikuwa busara kuwatoa madereva wazoefu kazini eti kwa vile tu hawakuwa na chetu cha form 4.

Sioni mantiki ya kumwamini zaidi dereva mpya kwa vile tu amemaliza kipato cha nne ukamwacha mzoefu wa miaka 20!
Hii homa homa ya shahada na PhDs inahitaji vidonge. Shahada haikufanyi kuwa nesi mzuri zaidi kama huna wito na kazi hiyo.

Wala uprofesa haukufanyi kuwa waziri bora zaidi kuliko akina Mzee Kawawa kama sio mzalendo. Vyeti havifanyi kazi. Get out of the bottle!!! Happy "birthday" utawala wa Jiwe!!
 
Kwa nyakati hizi wengi wanaweza wasikubaliane na hoja yako japo ndio ukweli wenyewe. Elimu ni muhimu + kipawa cha uongozi. Wengine Phd zao ziliwataka wawe wanasaka njoka mwituni au wawe maabara wanatuvumbulia vitu vyenye kurahisisha maaisha ya mtz.
 
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.
Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs sio sifa namba moja.
Ni kama magadi tu lakini sio chumvi kwenye mboga tunayoita hapa kwa jina la 'uongozi'.
Uongozi unataka mtu mwenye busara, uvumilivu, subira, maono, hekima, msimamo thabiti na heshima kwa wale anaowaongoza. Vitu hivi si lazima uvipate darasani.
Daktari lazima asomee udaktari ili afanye kazi ya udaktari. Vivyo hivyo kwa mwalimu, mhasibu, lawyer, mhandisi nk.
Vilevile katibu mkuu wa wizara lazima awe graduate. Sawa. Hata hivyo kusoma pekee na kujaza mavyeti hakumfanyi mtu kuwa waziri mzuri. Si lazima sana waziri kuwa na elimu ya juu sana kuwa waziri mzuri kwani yeye ni mwanasiasa tu na hategemewi kuingia 'jikoni'
Elimu pia haimfanyi mtu kuwa mbunge mzuri. Mara nyingine hekima na busara tu zinatosha katika uongozi wa siasa.
Hivi sasa umeingia 'ushamba' wa kudhani kuwa viongozi wenye PhD ndio hamira ya maendeleo nchini.
Historia ya karibuni inatuonesha kuwa kuna viongozi walifanya vizuri katika nafasi zao bila degree. Akiwa wizara ya mambo ya ndani, Mrema alifanya kazi nzuri na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka sasa. Hakuwa na shahada wala kishada. Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara na hekima kubwa bila kuwa na 'degree wala nini.
Elimu sio kila kitu. SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.
Msukuma wa Geita hana hiyo degree lakini bungeni anaongea vitu vya maana kuliko wabunge wengi wenye masters!!!
Sumaye hakuhitaji kuwa na degree kuvunja halimashauri ya jiji la Dar lillilokiwa likilalamikiwa kwa rushwa na u Uswahili katika miaka ya 2000. Alifanya kazi nzuri.
Tujiulize wabunge au mawaziri wenye degrees wamefanya nini cha maana ndani ya miaka mitatu ya utawala huu? Wame add value gani? Au wamezikimbia tu taaluma zao kufuata maslahi bungeni?

Mtu asipimwe based on elimu pekee. Heri mtu mwenye cheti halali cha darasa la pili kuliko aliyefoji cha kidato cha nne. Waende beyond vyeti. Kwa mfano haikuwa busara kuwatoa madereva wazoefu kazini eti kwa vile tu hawakuwa na chetu cha form 4.
Sioni mantiki ya kumwamini zaidi dereva mpya kwa vile tu amemaliza kipato cha nne ukamwacha mzoefu wa miaka 20!
Hii homa homa ya shahada na PhDs inahitaji vidonge. Shahada haikufanyi kuwa nesi mzuri zaidi kama huna wito na kazi hiyo.

Wala uprofesa haukufanyi kuwa waziri bora zaidi kuliko akina Mzee Kawawa kama sio mzalendo. Vyeti havifanyi kazi. Get out of the bottle!!! Happy "birthday" utawala wa Jiwe!!
Naona umemalizia kwa kuushangaa utawala wa awamu ya tano. !!
 
Mkuu - Vyeti huwa vinaonyesha kiwango chako cha kuelewa mambo (upeo); lakini vyeti pekee huwa havitoshi. Siku hizi watu wanakwenda nje ya vyeti - na inatakiwa uonyeshe "deliverables/ Achievements". Maana yake uonyeshe umefanya nini kwa muda uliyopewa madaraka au nafasi; ili u-accont kutokana na nafasi uliyokuwa nayo. Wazungu wenzetu walikuwa wanafanya hayo tangu zamani sana. Huku sisi ndio tumeanza kidogo kidogo. Hivyo kama Mbunge - aonyeshe (vitu vionekane - sio maneno) amefanya nini kwa kipindi cha Ubunge wake?? Tuna wabunge wengi tu TZ - wakishachaguliwa - unawaona hao wanakwenda kujishughulisha na mambo ya Chama Chao; hautowaona hata wakija kuongea na wanachi tena kuhusu matatizo yao. Huwa wanaokena kwenye uchaguzi unaofuata. Sasa hao ndio watu wa kwapiga chini 2020. Sasa jiulize ulishawahi kumuona huyo Mbunge wako uliempigia kura 2015 kuja kuwatembelea tena na kujua mmefikia wapi kushughulikia matatizo yenu? Huyu wa huku kwetu - hatujawahi kumuona tangu tumpigie kura 2015 - ila tunamsikia sana kwenye vyombo vya habari; akienda mahakamani na kwenye mambo ya chama chake. Hivyo tunamsubiria 2020 tuone atakuja kutuambia nini ................
 
Huwa nafrahi sana kusikia mijadala ya namna hii.
Lkn ukweli ni kuwa sisi kama nchi hatupo serious na kila kitu, kama unabisha niambie kitu gani ambacho tuna jivunia kwa utendani na ufanisi?
Kama hakuna maana yake ni kuwa viongozi na wasomi wanatoka kwenye jamii ambayo haijielewi kwahiyo hakuna jipya
 
Huo ndio ujinga wetu,eti tunaulizana kuwa ulimwona lini mbunge wako akija kuwatembelea?mbunge anaishi mbali na jimbo bado umwite mwakilishi wenu!!igeni mfano wa moshi,MTUI alikuwa anakaa moshi na mbunge wa moshi,NDESAMBURO alikuwa anakaa moshi na mbunge wa moshi,JAFARI MAIKO yeye sio kukaa moshi tu anashinda moshi tena sokoni akichuuza mchele na bado moshi inang'ara
 
Kutokuwa na elimu sio sifa...sisitiza elimu na tuendako msiposoma hata hiyo siasa mtaisikia kwenye bomba,kasome acha tilalila
 
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.
Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs sio sifa namba moja.
Ni kama magadi tu lakini sio chumvi kwenye mboga tunayoita hapa kwa jina la 'uongozi'.
Uongozi unataka mtu mwenye busara, uvumilivu, subira, maono, hekima, msimamo thabiti na heshima kwa wale anaowaongoza. Vitu hivi si lazima uvipate darasani.
Daktari lazima asomee udaktari ili afanye kazi ya udaktari. Vivyo hivyo kwa mwalimu, mhasibu, lawyer, mhandisi nk.
Vilevile katibu mkuu wa wizara lazima awe graduate. Sawa. Hata hivyo kusoma pekee na kujaza mavyeti hakumfanyi mtu kuwa waziri mzuri. Si lazima sana waziri kuwa na elimu ya juu sana kuwa waziri mzuri kwani yeye ni mwanasiasa tu na hategemewi kuingia 'jikoni'
Elimu pia haimfanyi mtu kuwa mbunge mzuri. Mara nyingine hekima na busara tu zinatosha katika uongozi wa siasa.
Hivi sasa umeingia 'ushamba' wa kudhani kuwa viongozi wenye PhD ndio hamira ya maendeleo nchini.
Historia ya karibuni inatuonesha kuwa kuna viongozi walifanya vizuri katika nafasi zao bila degree. Akiwa wizara ya mambo ya ndani, Mrema alifanya kazi nzuri na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka sasa. Hakuwa na shahada wala kishada. Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara na hekima kubwa bila kuwa na 'degree wala nini.
Elimu sio kila kitu. SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.
Msukuma wa Geita hana hiyo degree lakini bungeni anaongea vitu vya maana kuliko wabunge wengi wenye masters!!!
Sumaye hakuhitaji kuwa na degree kuvunja halimashauri ya jiji la Dar lillilokiwa likilalamikiwa kwa rushwa na u Uswahili katika miaka ya 2000. Alifanya kazi nzuri.
Tujiulize wabunge au mawaziri wenye degrees wamefanya nini cha maana ndani ya miaka mitatu ya utawala huu? Wame add value gani? Au wamezikimbia tu taaluma zao kufuata maslahi bungeni?

Mtu asipimwe based on elimu pekee. Heri mtu mwenye cheti halali cha darasa la pili kuliko aliyefoji cha kidato cha nne. Waende beyond vyeti. Kwa mfano haikuwa busara kuwatoa madereva wazoefu kazini eti kwa vile tu hawakuwa na chetu cha form 4.
Sioni mantiki ya kumwamini zaidi dereva mpya kwa vile tu amemaliza kipato cha nne ukamwacha mzoefu wa miaka 20!
Hii homa homa ya shahada na PhDs inahitaji vidonge. Shahada haikufanyi kuwa nesi mzuri zaidi kama huna wito na kazi hiyo.

Wala uprofesa haukufanyi kuwa waziri bora zaidi kuliko akina Mzee Kawawa kama sio mzalendo. Vyeti havifanyi kazi. Get out of the bottle!!! Happy "birthday" utawala wa Jiwe!!
mkuu umetema madini mazuri mno nakupa like za kutosha
 
Huo ndio ujinga wetu,eti tunaulizana kuwa ulimwona lini mbunge wako akija kuwatembelea?mbunge anaishi mbali na jimbo bado umwite mwakilishi wenu!!igeni mfano wa moshi,MTUI alikuwa anakaa moshi na mbunge wa moshi,NDESAMBURO alikuwa anakaa moshi na mbunge wa moshi,JAFARI MAIKO yeye sio kukaa moshi tu anashinda moshi tena sokoni akichuuza mchele na bado moshi inang'ara

Mkuu - sio swali la kuishi mbali; Mimi niko Dar - Mbunge wetu yuko Dar (Kilomita chahe tu kutoka maeneo yetu); eneo lake lolote atakalotaka kutembelea halizidi hata kilomita ishirini (kokote kule atakako kwenda); lakini bado haonekani. Sio kama anaishi nje ya Mkoa - anaishi hapa hapa Mkoani; na bado haonekani.
 
mkuu, nakushauri tu uende shule. na kama haukupata hii fursa basi peleka wanao shule.
uzoefu siyo mbadala wa elimu, japo ukiwa na elimu uzoefu ni muhimu
Bhikola. Niende shule mara ngapiii? Elewa mada. Tatizo umedandia gari kwa mbele bila kuelewa hoja. Watanzania!!!!
 
Hivi no kwa nini Mzee Mwinyi anawekwa katika kundi la wasio na degree? Alikuwa mwalimu tena wa chuo, bila degree?
Kama hamkujua ana Masters degree, degree zake nyingine ni kutoka vyuo vya kueleweka ughaibuni.
 
Wizi wa kura
Huwa nafrahi sana kusikia mijadala ya namna hii.
Lkn ukweli ni kuwa sisi kama nchi hatupo serious na kila kitu, kama unabisha niambie kitu gani ambacho tuna jivunia kwa utendani na ufanisi?
Kama hakuna maana yake ni kuwa viongozi na wasomi wanatoka kwenye jamii ambayo haijielewi kwahiyo hakuna jipya
 
SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.
Ebu jaribu kuchungunza anapenda na wananchi wa rika gani na kwa nini rika hilo! Pili, katika Ubunge wake ni jambo gani la kupigiwa mfano ambalo amelifanya kwa wananchi anaowaongoza ambalo pia lina manufaa kwa nchi. Kumbuka hapa sijaanza kujadili hoja uliyoleta.
 
Kwa muktadha wa sred yako, unadhani PhDs hazihitajiki? Kwamba ni kupoteza muda? Yumkini hufaham maana ya PhD.. na si vizuri kusemea usichokifaham..

Hakuna elimu kubwa na pana kama PhD.. kwa taarifa yako kama huna hiyo ngazi ya elimu, usije hata siku moja kujilinganisha na hiyo kitu.. acha kabisa..

Kuhusu kutenda au kutotenda kwa hizo PhDs.. kuna mambo mengi..

1. Nchi ya watu wajinga na pia wengi.. wazo la ngazi ya PhD halitapita kwa sababu watu wengi wako "in the box" na wanaogopa changes kwani hawajui ni nini hizo changes zitaleta.. mfano halisi.. watz wengi wanamuona kama Dr JPM hafai.. si kweli kwamba hafai, bali watu walishazoea kuishi kiujanja ujanja (box la ujanja ujanja na ubabaishaji), kwa hiyo mabadiliko mapya yameondoa uwezekano wa maisha ya kijanja janja. Mmoja wapo huenda ni mtoa mada maana hadi afikirie kuleta huu uzi, kuna pahala PhD ilipomkwaza.

2. Siasa mbovu
Saa nyingine mtu mwenye PhD anaona ili aishi bora aungane na watu wapuuzi puuzi.. as long as kula yake inatoka huko.. mtu kama huyu hatuwezi kumlaumu kwa sababu wapo pia wenye PhDs lakini hawaziamini. Mfano yule jamaa ambaye ni waziri anayeshghulikia mambo ya kina daimundo na kingwendu.. aliamua kujiunga na wajinga lilipoibuka swala la muungano.. hii huenda ilitokea baada ya kuona ugali wake unaingia hatarini..

3. Uchache wa PhDs na uhitaji wake

Tz siyo nchi ya viwanda, kwa hiyo siyo nchi ambayo inaongozwa kutokana na tafiti, ambazo hufanywa na hizi PhDs. PhDs zenyewe ni chache mno kiasi kwamba impact yake siyo kubwa kadri watu wanavyotarajia.. kwa uchache wake, vijana hawawezi kufundishwa kikamilifu, kwa hiyo ni vigumu kuwa na tija yenye kueleweka.

Kuna PhD feki pia, ambayo mwenye nayo hajitambui.. haelewi ni dhamana kiasi gani aliyo nayo kuhakikisha nchi yake inakuwa mahali salama pa kuishi na kifurahia
 
Mkuu - sio swali la kuishi mbali; Mimi niko Dar - Mbunge wetu yuko Dar (Kilomita chahe tu kutoka maeneo yetu); eneo lake lolote atakalotaka kutembelea halizidi hata kilomita ishirini (kokote kule atakako kwenda); lakini bado haonekani. Sio kama anaishi nje ya Mkoa - anaishi hapa hapa Mkoani; na bado haonekani.
Sikuelewi,,yani anaishi hapo hapo lkn haonekani!!atakuwa jini
 
mkuu, nakushauri tu uende shule. na kama haukupata hii fursa basi peleka wanao shule.
uzoefu siyo mbadala wa elimu, japo ukiwa na elimu uzoefu ni muhimu

Sio Elimu ya akina kabudi we kwa akiri yako kabudi Uprofesa wake unamsandia nini zaidi ya Ukasuku tu
 
Back
Top Bottom