Salute.Niende kwenye hoja kuna huyu jamaa anaitwa ONNI SIGARA huwa namsikia sana clouds fm naomba mwenye wasifu wa huyu jamaa maana amekuwa akiulizwa misamiati ya kiswahili na kujibu kwa ufasaha na sauti yenye mamlaka hivyo ningependa kujua cv yake kwa ufupi