NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu...
Tafadhali kwa mliokwishabadilisha namba za zamani za usajili wa pikipiki kuwa hizi mpya mfano MC 001ABC
mlolongo mzima hadi unapewa namba hizo mpya ni upi na inagharimu siku ngapi?
Hi friends!
Siko serious hapa msije mkaniteka bure ingawa siogopi sana kutekwa.
Suala la watumishi wa umma kusitishiwa baadhi ya stahiki zao ikiwemo kutoongezwa mshahara kwa miaka mitatu mfululizo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi juu ya tukio la kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama...
Masalkheri ndugu,
Wengi wetu hatupendi kukosolewa. Hii hutokana na kuogopa kuonekana mbaya na pengine kuachwa. Tabia hii hutufanya tulazimishe maisha yetu yaenande na ya watu wengine. Lakini...
SPANISH ON TANZANIA: Por qué los africanos deben condenar la resolución de la “homosexualidad” de la UE
December 16, 2018
Ø Después del fracaso del SIDA, la homosexualidad es una nueva arma para...
Naomba kujuzwa jiografia ya KIA.
Iko mkoa gani? Mwanzoni nilifikiri iko mkoa wa Kilimanjaro lakini kuna rafiki ananiambia uko mkoa wa Arusha. Nimeangalia kwenye google map, kweli unaonekana uko...
Jamani nyie Tigo sasa nimechoka kazi nyie kuandika 4g hivi si bora iwe 2g inayofanya kazi kuliko huu ujinga?
Yaani kwa siku internet yenu inafanya kazi lisaa limoja tu! Ikifika usiku ndiyo sasa...
Tanesco hasa Bagamoyo mnakeraa sana nimetoa taarifa ya tatizo leo siku ya kumi tena kajamaa kanajibu tanesco emergence tukusaidie, nikajiachia kutoa taarifa nikajua ndani ya nusu saa watatia timu...
Ukatili unaondelea kufanywa na Fastjet sio wa kufumbia macho. Yapata wiki nzima sasa abiria hawasafiri kwa wakati ndege zinaahirishwa bila kupewa taarifa.
Leo asubuhi nilitakiwa kusafiri kutoka...
Yaani jinsi ilivo changamoto ya kutamka jina la stiglas George kwa baadhi ya watanzania wenzetu hasa wale wa kawaida inaonyesha hili jina halina asili ya kitanzania hivyo basi, itakuwa busara...
Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu (Click to View Larger image yake). Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi...
Mzuqa wanaJF!
Yesu alisema mwenyewe kwa kinywa chake mkiniomba nitawapa nitafungua milango na madirisha ya mbinguni niwamwagie baraka na maghala kujaa.
Hamna namna its now or never. Nikuacha...
JAMII imetakiwa kutowaficha majumbani watoto wenye ulemavu kwa kuamini kuwa watu hao ni mkosi ama laana kwenye familia zao, Badala yake iwafichue na kuwapeleka kwenye vituo vinavyotoa huduma ya...
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu...
Membe ameingia Dar es
Salaam Halamisi wiki iliyopita, Ijuma amempa barua Bashiru kuwa ameitikia wito, yupo Dar ampe maelekezo ya kumuona lini.
Bashiru ameulizia Makatibu wote Wilayani wampe...
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu amekamatwa na polisi huko Mafinga Mkoani Iringa akiwa anajiandaa kuhudhuria kikao cha ndani cha Chama hicho.